Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,176
- 1,474
Jamal malinzi ukiwa kama member wa jf na jina lako limepita katika kuwania urais wa tff, sisi kama wana jf tunaomba utuambie vipaumbele vyako kama utapata ridhaa ya kuongoza mpira wetu, nadhani mda wa kampeni tayari si vibaya ukaanza kutujuza hapa janvini. Charity begins at home....