Jamaa yenu yupo hoi ile mbaya

Jamaa yenu yupo hoi ile mbaya

Hakika, fisadi ni mzigo kwa watz, lakini naamini Mungu ni mwema Dr.Makufuri atashinda kwa kishindo.

je mungu mnayemhubiri ccm ni yupi? je ni yule aliye hai? kama huyo hawez kuwa upande wenu mana yey haki na adhama hukaa kwake nyiny mmewadhulumu watanzania na amesikia kilio chao mwaka huu lazima muondoke madarakan.
 
Magufuli mwenyewe kachemsha karudi dar jana..kampeni za wiki mbili tu katepeta vibaya sana..
 
Hivi tokea lini Mungu akaruhusu Ufisadi wa EL?
 
Naomba watanzania mnielimishe, hivi escrow, kagoda,epa,dipgreen ni utakatifu au ni ufisadi? Mbona richmond pekee? Tuna kumbukumbu kweli au tumerogwa?
 
Naomba watanzania mnielimishe, hivi escrow, kagoda,epa,dipgreen ni utakatifu au ni ufisadi? Mbona richmond pekee? Tuna kumbukumbu kweli au tumerogwa?

Mkuu KATIBA KATIBA!!! hatujasahau kabisa! Hawa jamaa wanataka kujificha kwenye richmond ya miaka saba ili tusahau hii mbichi ya juzi!!
 
Magufuli mwenyewe kachemsha karudi dar jana..kampeni za wiki mbili tu katepeta vibaya sana..

Ameonekana kama anahofu sana na ndio maana kuna hii issue ya kuwabadilisha attetion watu kupitia Dr.Slaa
 
Ukawa oyeeeee.
11013636_854031767979661_3194460740304101927_n.jpg
 
je mungu mnayemhubiri ccm ni yupi? je ni yule aliye hai? kama huyo hawez kuwa upande wenu mana yey haki na adhama hukaa kwake nyiny mmewadhulumu watanzania na amesikia kilio chao mwaka huu lazima muondoke madarakan.

ndo huyo mungu akamteua kiongozi wa dhuluma awatete !? ukawa ulofa utawagharimu
 
Tangia anatangaza nia ndani ya Ccm Arusha mpaka leo ni mtu wa kuzunguka nchi hii na kuongea majukwaani,na ata siku moja hajaanguka jukwaani kama alivyoanguka *****.Binafsi nampa pongezi sana
Lowassa.

Na yule mwingine juzi alikuwa Nairobi kuboost kidogo afya maana iliyumba sana pumzi almost ikate! Na hawa ndio tumeambiwa wazima, tuliyeaminishwa kwamba ni mgonjwa yupo anadunda bila booster wala nn.
 
Lowassa ni mgonjwa

walio wazima kiafya wameshindwa kufika siku ya leo sembuse wewe ambae huna uakika kama kesho utaliona jua? Fumba shimo lako kabla mungu mwenye mamlaka na wewe hajakuondoa kabla ya kesho, wagonjwa wakaendelea na maisha
 
Afya za viumbe vyote zinadhaminiwa na Mwenyezimungu.Ni hatari kwa wewe mja wa MOLA kumkebehi ALLAH katika uwezo wake.Nikusihi uchukuwe tahadhari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom