realleonia
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 366
- 139
Mlisema mgonjwa huyo mtaisoma.
nasi hatuchagui wasaliti
#thepeoplespresident#haina wa kupinga hata bibi ako kijijin anamkubali...lowassa kama maji usipo mnywaa utamuogea...
Mlisema mgonjwa huyo mtaisoma.
Pozi la mwanamme kushika kiuno namna hiyo?
Kweli sasa mmemchoka.
Wacheni hizo, huyo ni taabani.
kashindwa kwenda mbinga,kwa gari kashindwa kwenda namtumbo kwa gari kashindwa kwenda nyasa kwa gari kashindwa kwenda ludewa kwa gari.mwambie asimame nusu saa tu shida.kwenye ukweli usemwe.LOWASSA siyo msafi nahao watu unaowaona wanajaa kwenye mikutano yake siyo wenye mapenzi na yeye LOWASSA watu wanaipenda cdm.
mim pia sintochagua fisadi
Unaweza ukatuelezea hiki ni nini au unataka kudanganya wajinga wenzako?
Mimi barafuyamoto, nauchukia ufisadi kwa nguvu zangu zote, SITOCHAGUA FISADI, na pia watanzania zaidi ya asilimia 80 ya wapiga kura hawatachagua UFISADI.
#HapaKaziTu Chadema sasa Kwisha Habari yao.
Mimi barafuyamoto, nauchukia ufisadi kwa nguvu zangu zote, SITOCHAGUA FISADI, na pia watanzania zaidi ya asilimia 80 ya wapiga kura hawatachagua UFISADI.
Nimemuona akikimbilia helcopter jamaa amewatoa shoo pale alipokimbia mita 20 kuifuata helcopter sasa yupo fit mtakoma kumbe alikua na stress tu kwa mbowe na ukawa atapona tu
Tena bora uwachukie maana wakishinda uchaguzi ujue zabuni zote zitachukuliwa na utitiri wa kampuni zao kuanzia bandari, meli, madini, ardhi, ndege, gesi na kila kitu tena watafunga mikataba ya miaka Mia na watoto wenu wote wataishia kupangiwa mishahara na watoto wao hata kama watasoma vipi lazima wapangiwe ajira na wao. Tena watoto wenu hawatamiliki chochote milele. Leo mwanao yuko huru kuibuka mtu yeyote bora juhudi zake. Tatizo wavivu wengi wanaoamini iko siku watalishwa kama ndege wakati ndege wenyewe huruka mwendo mrefu kusaka chakula mara ingine wanapatwa hata na masaibu ya ajali. Ee Mungu tunusuru na janga hili maana hizi ni dalili za shetwani katua rasmi tz. Amen.