Huko ni baby mwanzo mwisho.[emoji1][emoji8][emoji28][emoji28]ila ngono tamu jmnKuna vitu ukishindwa kusikitika unacheka kwa uchungu.
Sasa wakiwa kwenye umalaya mama mkwe alikuwa analia vip?...anamuita baby, my love, mwanangu ama?[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo raha ya malaveeeeWaendelee na Mapenzi Yao.
Unatumia tecno wewe si buree mbn una haraka ya kuandika kama mkojo wa asubuh ?
Polee usimind ni utani.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂daaahKuna vitu ukishindwa kusikitika unacheka kwa uchungu.
Sasa wakiwa kwenye umalaya mama mkwe alikuwa analia vip?...anamuita baby, my love, mwanangu ama?😀😀😀
mbona easy sana, mama aongee na bintiake wote wanawake wayamalize tu, tena walale kitanda kimoja kuepusha kuchafua vitanda vingine waendeleze dhambi yao.Utashangaa na itakushtaajabisha lakini ndio yametokea.
Huyu brother mke wake ni mtu wa Tanga ,na yeye ni mtu wa Kaskazini,ila maisha yake ni Darslam.
Ni kipindi kirefu tangu alivyo oa,hakufika kwa wakwe zake hii ni kutokana na jamaa kuwa busy na kazi.
Kutokana na kipindi kirefu mama kutomuona binti yake aliamua kufunga safari ya kwenda Dar kuwasalimia.Na hapo ndipo mambo yakabadilika.Mama akawa amempenda mkwe wake na kijana nae kashindwa kuvumilia wakajikuta wamekuwa wapenzi.Mapenzi yamenoga mama katiwa mimba na Mama kwenda Tanga hataki.Mke bado hajashtukia mchezo.
Tumpe ushauri huyu ndugu yetu.mimi binafsi nimeshindwa chakumshauri ndio maana nimelileta kwenu.
ajenda ilibadilishwa kwamba upuuzi ujibiwe kipuuzi.Kikao chetu cha juzi, tulikubaliana hakuna kushauri wapuuzi!
Hasanteni kwa kunisikiliza!
Basi itakua nilisinzia wakati kikao kinaendelea. Kumradhi ndugu wajumbe!ajenda ilibadilishwa kwamba upuuzi ujibiwe kipuuzi.
hapi aiseee ni aibu kubwa,mnoo mnoo ameshaweka doa kwenye safari yake ya ndoa mke haitomaliza visasi wakiendeleaUnamshauri nini mshkaji?
Yaani ,na sidhani kama hili ni kweli linaweza tokea, mama akatoka na mume Wa bintiye aisee. Mnaficha wapi sura zenuu[emoji30] [emoji30]itakuwa anamuonekano wa ujana na nahisi baba mkwe hayupo au hausiki sana ..maana dah hii ngumu sana
Duuh, huyo mume sijui ntamfanyaje yani atoke na mama angu na mimba juuu[emoji16] [emoji16]Bi mkubwa nikifaa bado kipo kwenye hali yake.kwa matumizi.
Huyo mama mkwe hajafika tu menopause mpk kapata mimba. Hiyo ni aibuu
Hahaaaa, mnajiendekeza tuu unashindwa kweli kujizuia kwamba hata kama anavutia ni mama mkwe ukaogopa, wanaume nyiee.kuchungulia sehemu za siri alizotokea mkeo[emoji16] [emoji16]Utakuta mama mkwe bado mbichi kijana anavutia kama kasichana kweny dp yako unashindwa kujizuia wanaume tunapitia mengi nyie hamjui tu