Adrian Stepp
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,581
[video=youtube_share;g65qd5jbakm]http://youtu.be/g65qd5jbakm[/video]
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhahahaahahahahahhahahahhahahahha mungu wangu weeeeeeeeee
[video=youtube_share;g65qd5jbakm]http://youtu.be/g65qd5jbakm[/video]
WANAOMFAHAMU HUYU JAMAA KITAMBO WANASEMA KIPINDI CHA NYUMA ALIKUWA HAPO HAPO POSTA, LAKINI AKIMUANDAMA SHEHE YAHYA NA KUMSEMA ILE MBAYA.SASA BAADA YA YAHYA KUFA NDO KAANZA KUMSHAMBULIA KIKWETE.
..Ni zao la magamba na wadanganyika wachache wenye uoga na akili nzito ya kutotaka mabadiriko + Uchakachuaji wa kura wa hao hao Magamba = JKKikwete bado ni raisi wetu, zao la maamuzi yetu watanzania, tuache kuwa vigeugeu!
Wakuu kuna jamaa kwa muda mrefu kweli amekuwa akimwaga matusi kwa j.k kwa style ya kuhubiri, utasikia kikwete kichaa, kikwete ni joka, kikwete mpumbavu, hili joka mungu ataliondoa.
Kwa wanaopita posta mpya kuanzia saa 11 jioni watakuwa wanamfahamu huyu jamaa.
WANAOMFAHAMU HUYU JAMAA KITAMBO WANASEMA KIPINDI CHA NYUMA ALIKUWA HAPO HAPO POSTA, LAKINI AKIMUANDAMA SHEHE YAHYA NA KUMSEMA ILE MBAYA.SASA BAADA YA YAHYA KUFA NDO KAANZA KUMSHAMBULIA KIKWETE.
Tatizo la umalaya linamtokea pua Kikkwete, ametembea na wanawake weeengi!!!!!! Kiasi kwamba wanawake kibao wanamuita Baby, hawa ni wale walioamua kusema bado wakuu wa Wlaya
Atakuwa padre huyo...