Jamaa anayemtukana kikwete hapa posta mpya...

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
224
195
Wakuu kuna jamaa kwa muda mrefu kweli amekuwa akimwaga matusi kwa j.k kwa style ya kuhubiri, utasikia kikwete kichaa, kikwete ni joka, kikwete mpumbavu, hili joka mungu ataliondoa.
Kwa wanaopita posta mpya kuanzia saa 11 jioni watakuwa wanamfahamu huyu jamaa.

WANAOMFAHAMU HUYU JAMAA KITAMBO WANASEMA KIPINDI CHA NYUMA ALIKUWA HAPO HAPO POSTA, LAKINI AKIMUANDAMA SHEHE YAHYA NA KUMSEMA ILE MBAYA.SASA BAADA YA YAHYA KUFA NDO KAANZA KUMSHAMBULIA KIKWETE.

UPDATE:
Watu wengi wanadhani namzungumzia yule mzee anayepiga ngoma.
Wala sio yule, anayemtukana J.K ni mwingine, na ni kijana kabsaaaa.
 
Doulos

Member
Nov 10, 2009
15
45
Acha ayaseme ingawaje nashauri yachukuliwe kama maoni yake binafsi na si ya watanzania wote
 
Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Sep 8, 2011
1,490
2,000
kwa hiyo..!!

embu endeleza ka research kako ka kusikiliza Kila anayeongea anasemaje.. embu nipe taarifa eti kuna mtu anamsema baby wangu huko??
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
9,479
2,000
Wakuu kuna jamaa kwa muda mrefu kweli amekuwa akimwaga matusi kwa j.k kwa style ya kuhubiri, utasikia kikwete kichaa, kikwete ni joka, kikwete mpumbavu, hili joka mungu ataliondoa.
Kwa wanaopita posta mpya kuanzia saa 11 jioni watakuwa wanamfahamu huyu jamaa.

USALAMA WA TAIFA HUYO..! Neng'eneka unaswe..!!!
 
Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
1,250
mhhhhhhhhhhhhhh

Wakuu kuna jamaa kwa muda mrefu kweli amekuwa akimwaga matusi kwa j.k kwa style ya kuhubiri, utasikia kikwete kichaa, kikwete ni joka, kikwete mpumbavu, hili joka mungu ataliondoa.
Kwa wanaopita posta mpya kuanzia saa 11 jioni watakuwa wanamfahamu huyu jamaa.
 
Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,252
1,500
Wakuu kuna jamaa kwa muda mrefu kweli amekuwa akimwaga matusi kwa j.k kwa style ya kuhubiri, utasikia kikwete kichaa, kikwete ni joka, kikwete mpumbavu, hili joka mungu ataliondoa.
Kwa wanaopita posta mpya kuanzia saa 11 jioni watakuwa wanamfahamu huyu jamaa.

Inapendeza na kufariji kama wahubiri wa neno la Mungu wanaungana nasi, Mzee wa Upako alisha tuhubiria yake.
Asante mhubiri wa Posta Mpya.
 
figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,721
2,000
mi ninacho mpendea ni utalaam wake wa kupiga ngoma.nenda pale ijumaa jioni kuanzia saa 11.usafiri ukiwa mgumu huwa ananiliwaza kwa utalaam wake wa kupiga ngoma.furrrruuuu...burdan.mia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom