Jamaa anayemtukana kikwete hapa posta mpya...

dsc00947.jpg
 
WANAOMFAHAMU HUYU JAMAA KITAMBO WANASEMA KIPINDI CHA NYUMA ALIKUWA HAPO HAPO POSTA, LAKINI AKIMUANDAMA SHEHE YAHYA NA KUMSEMA ILE MBAYA.SASA BAADA YA YAHYA KUFA NDO KAANZA KUMSHAMBULIA KIKWETE.

majini ya shehe Yahaya yalimshindwa, tuone Nape na UWT kama watafua dafu
 
kama ni huyu wa kwenye picha ana mda mrefu sana..nimemwona hapo posta tangu 2010...zamani alikuwa na kinanda cha mdomoni naona sasa hivi kaja na ngoma.......kikwete wengi wanamtukana sana.....
 
Kikwete bado ni raisi wetu, zao la maamuzi yetu watanzania, tuache kuwa vigeugeu!
..Ni zao la magamba na wadanganyika wachache wenye uoga na akili nzito ya kutotaka mabadiriko + Uchakachuaji wa kura wa hao hao Magamba = JK
 
Wakuu kuna jamaa kwa muda mrefu kweli amekuwa akimwaga matusi kwa j.k kwa style ya kuhubiri, utasikia kikwete kichaa, kikwete ni joka, kikwete mpumbavu, hili joka mungu ataliondoa.
Kwa wanaopita posta mpya kuanzia saa 11 jioni watakuwa wanamfahamu huyu jamaa.

WANAOMFAHAMU HUYU JAMAA KITAMBO WANASEMA KIPINDI CHA NYUMA ALIKUWA HAPO HAPO POSTA, LAKINI AKIMUANDAMA SHEHE YAHYA NA KUMSEMA ILE MBAYA.SASA BAADA YA YAHYA KUFA NDO KAANZA KUMSHAMBULIA KIKWETE.

Mashekhe wetu mko wapi? Rais wetu, tena Muislam safi anatukanwa mbele ya hadhara hamtoi tamko!!! Labda ni mpaka wamtukane Chadema ndio mtatoa tamko kama kule Igunga kwa DC Kimario.
 
kwani anayosemwa kikwete kuna lililo la uongo?............yaani kesho jioni akisema kikwete legheleghe, fisadi, atakuwa anatukana au anasema kile ambacho ni ukweli?................mwacheni aseme ukweli wake na wala isitafsiliwe kuwa ni matusi
 
Tatizo la umalaya linamtokea pua Kikkwete, ametembea na wanawake weeengi!!!!!! Kiasi kwamba wanawake kibao wanamuita Baby, hawa ni wale walioamua kusema bado wakuu wa Wlaya

Mods hii nini au hadi atukanwe SLAA ndiyo linakuwa tusi?
 
saint Ivuga...video
ni komedi au nini?ni nchi gani hapo
nimejikuta nacheka ata sijasikia baadhi ya maneno
siwezi irudia kuiwatch hapa nilipo...balaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom