Jamaa anayemtukana kikwete hapa posta mpya...

Kwa nivyowajua ccm asingekua usalama wa taifa washamgonga na gari kama yule mzee aliyesema ccm itakufa kabla yake na wiki ile ile akagongwa na gar pale ubungo akafa
 
Hacha atomboke 2 kwn anayoyasema ni ya uongo!.nipeni ratiba zake plz me ni prodyuza nataka nimpe ofa ya kutoa single ya hayo anayoyaongea iwe kw njia ya muziki
 
Hata mi natukanaga
humu chumbani mwangu
hasa umeme ukikatika
halafu joto linisumbue
kisha sina kitu mfkoni
weeee anatukanika vibaya[/Q
UOTE]
duh km nakuona vile umeme ukikatika halafu uwepo na pesa unavyotundika gwanda zako ukatoe hasira baa.
He he hapa naandika jamaa pembeni hapa anapiga cm sijui kwa nani analalamika umeme umekatika hivyo leo harudi kwake mpaka umeme urudi.
Kazi ipo

ALAA ANASUNGIZIA UMEME ANAENDA KWA KIMADA SIO?
 
mi ninacho mpendea ni utalaam wake wa kupiga ngoma.nenda pale ijumaa jioni kuanzia saa 11.usafiri ukiwa mgumu huwa ananiliwaza kwa utalaam wake wa kupiga ngoma.furrrruuuu...burdan.mia

Uyu sio yule mpiga ngoma muhubiri mzee mzee ivi, uyu ni mwngne,mshkaji flani ivi,yani kila jion mi nikiwa napta pale lazma umkute,jamaa anajitukania Kikwete adi balaa
 
Mi namfahamu yule mzee, huwa anahubiri kila siku ya j3, j5 na ijumaa. posta mpya. Ila sijawahi kumuona akitukana zaidi ya kupiga ngoma yake na kuimba.
 
Hacha atomboke 2 kwn anayoyasema ni ya uongo!.nipeni ratiba zake plz me ni prodyuza nataka nimpe ofa ya kutoa single ya hayo anayoyaongea iwe kw njia ya muziki
sio vizuri kuandika matusi jukwaani. jirekebishe mkuu.
 
Uwezo wako wa kufikiri unaenda sambamba na udogo wa masaburiyo
very true, mwanaume mwenye masaburi makubwa ni Dr. Masaburi tu ambaye ni mwanachama muhimu sana kwenu wa CCM (yaani chama cha masaburi)

Vipi, dada alishamaliza lile soo lenu?
 
wakuu kuna jamaa kwa muda mrefu kweli amekuwa akimwaga matusi kwa j.k kwa style ya kuhubiri, utasikia kikwete kichaa, kikwete ni joka, kikwete mpumbavu, hili joka mungu ataliondoa.
Kwa wanaopita posta mpya kuanzia saa 11 jioni watakuwa wanamfahamu huyu jamaa.

Wanaomfahamu huyu jamaa kitambo wanasema kipindi cha nyuma alikuwa hapo hapo posta, lakini akimuandama shehe yahya na kumsema ile mbaya.sasa baada ya yahya kufa ndo kaanza kumshambulia kikwete.


mh haya kwa hiyo ndo kamuuua shehe yahya au?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom