Tatizo liko hapo maana hata kile kipigo nacho inawezekana dada wa watu kimkolea ile mbayaJuzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.
Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada. Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................
Hahahahaaa halafu huyo mtoa stori anasema kuna siku huwa anawauliza kwanini anashindwa kumuacha mshikaji pamoja na kumpa balaa zote hizo. Inasemekana siku moja kampa kisago mbaya club mpaka akamvua nguo zote, lakini kesho yake wakaonekana mtaani wanatembea wameshikana viuno. Dah mapenzi..............Tatizo liko hapo maana hata kile kipigo nacho inawezekana dada wa watu kimkolea ile mbaya
Maadili ya hivyo? Dah MAKUBWA..............
kumbe wanawake wenye maadili bado wapo eeh? huyo kaka ana bahati sana,mashaallah!
Teh teh teh "WILL YOU MARRY ME"
Kuna maadili kumbe hadi ya kuvumilia vipondo is my first time 2 hear so.