EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,091
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.
Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada. Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................