Jamaa anatoa kipigo halafu anamalizia na tendo.....

Mie nawachukia sana Wanaume ambao wanatumia njia mkato ya kumaliza matatizo na wake zao maGF kwa vipigo ambavyo wengine hupata hata majeraha, vilema au hata kufa. Ni kitu ambacho huwa kinanisikitisha sana na bahati mbaya Serikali bado haijaweka nguvu za kutosha katika kupambana na hawa waonevu.

Hii ina uhusiano na serikali kweli?
 
Inawezekana ndo aina ya mapenzi yao
labda jamaa ni akina baba Bhoke Muraaaaaaa
Lakumshauri ajitahidi kuweka ndani panadol na diclofenac
 
mwenye matatizo ni huyo mdada... kwani mwanaume ndio huyo, amekolezwa upuuzi gani mpaka atake kutolewa roho na bado yupo... kweli mapenzi yakizidi ni ungonjwa usotibika.
 
mwenye matatizo ni huyo mdada... Kwani mwanaume ndio huyo, amekolezwa upuuzi gani mpaka atake kutolewa roho na bado yupo... Kweli mapenzi yakizidi ni ungonjwa usotibika.
love is blindooooooo
 
yaani hilo jambo mi sina ubish nalo maana nina ushaidi wa kutosha kuwa kuna mtu ana tabia kama iyo
anatoa kipigo pia anamaliza kwa tendo
 
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.

Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada.
Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................

Hii formula mi nishaijifunza siku nyingi sana kuwa kina dada wanakoleaga kwa wanaume wababe...
 
mwenye matatizo ni huyo mdada... kwani mwanaume ndio huyo, amekolezwa upuuzi gani mpaka atake kutolewa roho na bado yupo... kweli mapenzi yakizidi ni ungonjwa usotibika.

gangster lovin' na mara nyingi wanawake wazuri saana hujikuta mikononi mwa mijitu kama Great khali hapo ubabe mwanzo mwisho na hawaachani kbs kwani mwanamke hujiona ni haki yake kukosea na kubondwa na kulindwa!
 
na wakipata mwanaume hajui kupiga ni dharau mwanzo mwisho....
yah wanamwona kama **** vile, yupo mmoja hivi yan namwangalia simmalizi, yaani anasimulia mwenzenu nimepigwa then mwisho wake mechi kali
unamwangalia hummalizi
 
yah wanamwona kama **** vile, yupo mmoja hivi yan namwangalia simmalizi, yaani anasimulia mwenzenu nimepigwa then mwisho wake mechi kali
unamwangalia hummalizi

vipigo huwa vina dhuru mental state....
na ndo maana hata kuaachanisha inakuwa ngumu
lazima atarudi tu kwa mumewe...ni kisaikolojia zaidi...
 
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.

Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada. Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................

huo ndo utumwa wa mapenzi . Huyo dada anatumia akili au anatumia moyo kupenda . Mimi nadhan bado anatumia moyo. Mwambie ajirekebishe atakufa kwa kupenda kwake huko
 
Back
Top Bottom