Jamaa anatoa kipigo halafu anamalizia na tendo.....

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,090
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.

Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada. Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................
 
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.

Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada.
Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................
Tatizo liko hapo maana hata kile kipigo nacho inawezekana dada wa watu kimkolea ile mbaya
 
kumbe wanawake wenye maadili bado wapo eeh? huyo kaka ana bahati sana,mashaallah!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo liko hapo maana hata kile kipigo nacho inawezekana dada wa watu kimkolea ile mbaya
Hahahahaaa halafu huyo mtoa stori anasema kuna siku huwa anawauliza kwanini anashindwa kumuacha mshikaji pamoja na kumpa balaa zote hizo. Inasemekana siku moja kampa kisago mbaya club mpaka akamvua nguo zote, lakini kesho yake wakaonekana mtaani wanatembea wameshikana viuno. Dah mapenzi..............
 
tukijisimamia tunaambiwa watoto wa .com, hatukai na waume talaka kila siku. na me nimeamua kuwa mwanamke mwenye maadli, hata nikiletewa mke mwenza ndo kwanza nawawekea maji waoge pamoja!
Maadili ya hivyo? Dah MAKUBWA..............
 
tukijisimamia tunaambiwa watoto wa .com, hatukai na waume talaka kila siku. na me nimeamua kuwa mwanamke mwenye maadli, hata nikiletewa mke mwenza ndo kwanza nawawekea maji waoge pamoja!
Teh teh teh "WILL YOU MARRY ME"
 
vipondo tu? hata cheatings tunavumilia, achia mbali mizinga ya kifedha. ukirudi home bonge la menu na nguo unanunuliwa,zako unahonga tu kwa raha zako!
Kuna maadili kumbe hadi ya kuvumilia vipondo is my first time 2 hear so.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom