Jamaa aliyezuia pdproxy pale voda apandishwa cheo

Jamaa aliyezuia pdproxy pale voda apandishwa cheo

SirMadesa

Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
9
Reaction score
1
IT mmoja aliyezuia pdproxy kutumika kwenye voda amepandishwa cheo kwa kuzibiti uhalifu
 
Bila maelezo ya kueleweka na ushahidi, hii itabaki kuwa porojo
 
@njuma wa mavoko rudi huku hawakujui ili Dogo ashushwe Cheo fasta Hahahaaa
 
mkuu uko serious? maana sisi tunalalamika kuwa tangu jamaa wame filter access hakuna tena connection with 0 balance.
Kama kwako bado ipo please help me out
 
Wanajisifu eeh... Wajiandae kumfukuza kazi sasa..
 
kumbe ndo maana inazengua tokea jmosi ......... hongera zake
 
IT mmoja aliyezuia pdproxy kutumika kwenye voda amepandishwa cheo kwa kuzibiti uhalifu

Noobs wengine bana! Jifunze kuandika bana, hapa siyo fb! FYI watu bado wanakula masiha kwa voda kama kawaida, pdproxy is unastopable...haya kamwambia tena huyo mumeo azibe na huo mwanya sijui anaanzia wapi, na this time nyie wenye madomo mapana hakuna kuwapa kitu, hii inaitwa kutafuna kimyakimya!
 
duh na ww imekukela mkuu
 
Hakuna cha IT na kila k2 2nao wataalamu humu huyo atkuwa kabahatisha we subr na wa kubali wa2 wa THE GREAT THINKER
 
Back
Top Bottom