Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

Kuna mwanamke Mmoja naye alikuawa na mme wake kisa alianza kumlinganisha na mchepuko wake kwenye performance. Jamaa akasubiria Ile imefika alfajiri akamvamia yule mwanamke na kumfunika na mto usoni mpaka alipokata roho, akakimbia mpaka Leo ni miaka 11 hajapatikana.
 
Wanawake wa Kitanzania wanauzi sana hasa wakinogewa na dudu.

Jamaa hakuwa na namna zaidi ya kutwanga mtu risasi.

Afungwe miaka 3 arudi uraiani kuendelea na maisha
Hakuna provocation ya hivyo,provocation inabidi tendo kuudhi au kudhalilisha utu liwe limefanyika Muda huo huo,linaangaliwa kitu inaitwa heat passion.Jamaa alijiandaa kufanya tukio kwa Muda mrefu.
 
Kwa usalama wake afungwe miaka 30, mtaani ataishije na watoto wake wanajua amemuua mama yao kwa sababu yoyote ile.

Kwamba Jane hana familia ikae tu iangalie mahakama inavyompa favor huyo muuaji.

If he wanted to get rid of his wife he would have done that with no trace connection to him, Ni mjeuri tu alitaka kuunesha ulimwengu kuwa anayaweza.

Labda aeleze mahakama kwa ushahidi kuwa mke alikuwa anajaribu/ana mipango ya kumuua pia, otherwise hachomoki niko nimekaa pale. Kesi yenyewe imegusa pabaya kila mtu mkubwa ameitolea maoni.

Hakuna manslaughter ya mtu kusema “nimemaliza kazi”, kutoka atokako na bastola kuja kumkuta mtu na kumpiga risasi (Kama story ni za kweli) That’s murder.
 
Inaonekena ulikowepo ndani wkt wanazozana, had unafahamu kuwa sio manslaughter ni murder case,
Ukisema alijiandaa unamaanisha nini labda ndugu shaidi wa kuona?
 
Kwa usalama wake afungwe miaka 30, mtaani ataishije na watoto wake wanajua amemuua mama yao kwa sababu yoyote ile.

Kwamba Jane hana familia ikae tu iangalie mahakama inavyompa favor huyo muuaji.

If he wanted to get rid of his wife he would have done that with no trace connection to him, Ni mjeuri tu alitaka kuunesha ulimwengu kuwa anayaweza.

Labda aeleze mahakama kwa ushahidi kuwa mke alikuwa anajaribu/ana mipango ya kumuua pia, otherwise hachomoki niko nimekaa pale. Kesi yenyewe imegusa pabaya kila mtu mkubwa ameitolea maoni.

Hakuna manslaughter ya mtu kusema “nimemaliza kazi”, kutoka atokako na bastola kuja kumkuta mtu na kumpiga risasi (Kama story ni za kweli) That’s murder.
Kuna mshkaji alimuua mke wake mwaka juzi,kakaa ndani miezi mitatu tu! Hawa viumbe wasipobadilika watauliwa sana
 
Naunga mkono hoja ikibidi kweka afungwe hiyo miaka mitatu 3 kikiwa ni kifungo cha nje apewe tu masharti kadhaa ikiwemo lile la kuripoti polisi Kila wiki na passport zake zishikiliwe akimaliza kifungo watamrudishia.

Mimi kama karani wa mahakama ya kijiji nitaliangazia hili jambo kupitia kwa wakili Pascal Mayalla tuone tunaanzia wapi kumsaidia bwana Kweka apate haki yake ya kimsingi kabisa ikizingatiwa ni mgonjwa sana hawezi kukaa mazingira yale
 
Wanawake wa Kitanzania wanauzi sana hasa wakinogewa na dudu.

Jamaa hakuwa na namna zaidi ya kutwanga mtu risasi.

Afungwe miaka 3 arudi uraiani kuendelea na maisha
Ni wanawake wote tu duniani siyo Tanzania likija swala la dudu. Wanachanganyikiwaga balaa. Wako tayari kujiuza kwa wanaume wenye hela ili wakufurahishe. Halafu wewe tajiri unajiona mjanja.

Kuna mwanamke Mmoja naye alikuawa na mme wake kisa alianza kumlinganisha na mchepuko wake kwenye performance. Jamaa akasubiria Ile imefika alfajiri akamvamia yule mwanamke na kumfunika na mto usoni mpaka alipokata roho, akakimbia mpaka Leo ni miaka 11 hajapatikana.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom