Jama msaada wenu plz jinsi gani naweza kudivert namba ya mtu nikawa napata incoming call zake?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wakuu nnachoomba ni maelezo ya jinsi gani nifanye nipate kuskia simu za namba nyingine anapokuwa anapokea nami niwe naskia pia!
 
Umeshaandika mirathi lakini? Usijewatia watu taabu ya kugombea kitanda, godoro na mkeka uki-RIP
 
Mh... Unajitaftia kufa mapema kwa presha.

nipo tayar kwa lolote na naamin ujasiri wangu utanisaidia so msaada wenu sasa nifanye step zipi niweze divert hzo incoming call?
 
Dah, humu jamvinini raha kweli, kunawatu mnamawazo ya kifokifo tu, umri wako bado mdg bana achana hizo mambo
 
Why ufanye hivyo,hiyo naona unataka kufanya kwa mtu wako wa karibu, it means uwamifu umeisha, why ufanye hivyo na kujitakia maradhi??Mpige chini tu faster
 
Why ufanye hivyo,hiyo naona unataka kufanya kwa mtu wako wa karibu, it means uwamifu umeisha, why ufanye hivyo na kujitakia maradhi??Mpige chini tu faster

no siwez fanya lolote zaid ya kufuatilia na kujua hali halisi kwanza msaada wenu plz je nifanye setting vp niweze kuacess hizo incoming call zake?
 
kaombe kazi kwenye makampuni ya simu, natumaini utafanikisha zoezi lako kiulainiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wakuu nnachoomba ni maelezo ya jinsi gani nifanye nipate kuskia simu za namba nyingine anapokuwa anapokea nami niwe naskia pia!

Ongea na watoa huduma za mitandao (tigo, voda, zantel, airtel, ttcl, n.k) pamoja tcra na polisi, utafanikiwa.
Katika hali ya kawaida hicho kitu hakiwezekani.
 
Hii inaitwa phone tapping na ni kosa la jinai baadhi ya nchi. Hata hivo zipo software unainstall katika simu mkeo,girlfriend,mtoto ambayo inakuwezesha kifatilia muzungumzo na sms anazopokea. www.phonetappingsoftware.net
 
Back
Top Bottom