Jalada la Kapuya latoweka Polisi Makao Makuu. Mwenyewe atamba ameshinda vita!

I KNEW IT BEFORE.
sisg watanganyika halisi tulishajua mwishilizio wake, ndo maana tulikaa kimya.
sasa wakuja wamerusha mate weeee!!!, tena najua mtatulia mda c mrefu.
 
Wafungue jingine kwani tatizo liko wapi? Mbakaji yupo na mbakwaji yupo, ushahidi wote bado upo, au sheria zetu za kibongo zinasemaje? Maana wakati mwingine uwa kama zipo kulilinda tabaka la juu. Hata ikishindikana la muhimu ni kuwa kapuya kwa sasa tumemwelewa vizuri.
 
Hivi bado tu mko kwa Kapuya? Get over it and move on.

mtu makini atafatilia mpaka aone mwisho wake, hii tabia ya kurukia mambo ndiyo maana tumefika hapa tulipo mkiwa kwenye issue ya katiba lina kuja swala la kubaka kwa kapuya mna hamia huko hamjamaliza la kapuya lina kuja swala zitto, halijaisha linaibuks lingine sasa ni wakati mwafaka walioobua kulikomalia mpaka waone mwisho wake..
 
Kama amekua juu ya sheria basi umma tutamtia kwenye mkono wa sheria kwa kujichukulia sheria mkononi tutampiga mawe hadi kufa. Bado asijiaminishe wananchi tuna hasira kutokana na kadhia dhidi yetu, binafsi naona km karuka maji anasubiri kukanyaga matope.
 
Duh! Zombe,Ditopile,Kapuya,Mabina,hawa ndo wenye nchi hutaki kula kona,wengine mabina na dito wanakula bata kuzimu.
 
THAT'S THE KIND OF GOV'T WE HAVE IN TANZANIA,DR J.K KIKWETE ARE U ACCEPT THIS TOLERENCE AS A LEADER,PLZ QUIT ALL CHAINS OF POLICE WHO'S ENGAGED INTO THIS SHiTS
 
usiingie jf ukiwa umelewa.vigezo na masharti kuzingatiwa.hata kama cdm unaichukia si kila mada ni cdm mbona ccm mnaogopa hadi unyasi?nchi mmegawana bado makabidhiano waswasi wa nini.hapa mada ni kapuua cd iningiaje!inawezekana unacho kinena ni sawa ila uwe makini.

sifa ya mtu aliyelewa ni kuropoka bila kujenga hoja
 
KATIKA KILE KINACHOONYESHA NGUVU YA FEDHA INAVYOWEZA KUFANYA KAZI DHIDI YA HAKI,JALADA LA UBAKAJI ALILOFUNGULIWA PROF KAPUYA PALE PLISI MAKO MAKUU INADAIWA LIMEYEYYUKA NA KUWAACHA WAPELELEZI WALIOKUWA WAKILIFUATILIA MIDOMO WAZI.

TAARIFA ZA NDANI YA JESHI HILO MAKAO MAKUU(HQ) ZINADAI KUWA JLADA HILO LILILOFUNGULIWA KWA MBWEMBWE NYINGI LIMETOWEKA NA HAIJULIKANI LIMEPELEKWA WAPI.

MNYETISHAJI WA KUTOKA IDARA YA MASIJALA ILIYOPO GHOROFA YA SITA NDANI YA JENGO LILE ANADAI FAILI LILE HALIKUWAHI KUFIKISHWA HUKO NA ANACHOJUA NI KWAMBA UCHUNGUZI WA SWALA HILO UMEFUNGWA NA HATA WAPELELEZI WALIOPWA JALADA LILE WAMEPEWA KAZI NYINGINE NA KUAMBIWA WAACHANAE NA SWALA LA KAPUYA HADI PALE watakapopewa maelekezo mengine.

KWAKUJUA AU KUTOKUJUA KINACHOENEDELEA MAKAO MAKUU YA POLISI,. KAPUYA AMADAIWA KUPITA MITAANI AKIJINADI KUWA AMEWAMALIZA WABAYA WAKE NA MAISHA YANAENDELEA KAMA KAWAIDA.

TAARIFA HIZI ZINAKUJA WAKATI TAYARI IMETANDA HOFU KUBWA KATIKA FAMILIA YA BINTI ANAEDAI KUBAKWA NA KAPUYA NA KUAMBUKIZWA UKIMWI.

TAARIFA ZINAELEZA KUWA BINTI HUYO AMEJIFICHA KATIKA NYUMBA YA NDUGU YAKE MMOJA HAPA JIJINI DAR(PANATAJWA) HKU AKIAHIDI KUJIUA KULIKO AKUTWE NA KISASI CHA KAPUYA ALIYEAHIDI KUWASHUGHULIKIA WOTE WANAOMCHAFUA.

TUSUBIRI TUONE.



Ok, naona CCM wameanza mchezo wa unyanyasaji kisaikolojia. Ngoja sasa nikusanye vijana hapa mtaani tumtafute huyu inzi (mwana ccm) tumpige matofali.
 
ipo siku wananchi watachukua sheria mkononi..kuanzia kwa walinda usalama hadi watuhumiwa. ......
 
ipo siku wananchi watachukua sheria mkononi..kuanzia kwa walinda usalama hadi watuhumiwa. ......
 
tangu nilipomkamata mwizi wa simu yangu nikampeleka polisi wakamweka ndani, nikarudi nyumbani kwa kupitia mjini, nilipofika kwangu nikamkuta yule mwizi tayarri yuko mtaani,kamwe SITAMPELEKA TENA MTUHUMIWA POLISI, NIMEJENGA MOYONI MWANGU MAHAKAMA YA KUMSULUBU KILA ATAKAYENIKOSEA. FULL STOP
 
Ila Kapuya mwenyewe alitahadharisha,kuwa yeye ni PM mtarajiwa na anaheshima zake hawezi kufanywa kitu.
Nafikiri sasa wanachi wameanza kuelewa na wanajichukulia sheria mkononi maana serikali haiwasaidii kupata haki zao.
 
Hapo amepiga rangi jipu kwani jipu lenyewe bado linauma tu. Japo umeiba faili kwa kutumia pesa zako, uhalifu wako uko "MIOYONI MWA WATANZANIA" Wewe utabaki mhalifu milele hadi utakapofariki. Tena kibaya zaidi ulichokifanya sasa tunaamini ULIBAKA na inawezekana wengi zaidi watajitokeza kukushitaki. Hata mkeo sasa anaamini ULIBAKA, kwani mtu mwema huacha sheria ichukue mkondo wake bila kuuingilia.
 
Bazazi kapuya ,lakini hata akichomoa imemuharibia sana sifa yake kuanzia nyumbani kwake(family) hadi kitaifa nadhani katumia fedha nyingi sana kujisafisha na kashfa hii

Mkuu hilo hapa kwetu hata hua sio ishu sana, reputation?
 
Back
Top Bottom