Jalada la Kapuya latoweka Polisi Makao Makuu. Mwenyewe atamba ameshinda vita!

Maskini kale katoto ndio katajua maana ya "wenye nchi" hehehe!
Kajiunge CHADEMA fasta ili hata kakifa tujue bila hivyo na kenyewe katayeyuka bila hata habari.
 
Bazazi kapuya ,lakini hata akichomoa imemuharibia sana sifa yake kuanzia nyumbani kwake(family) hadi kitaifa nadhani katumia fedha nyingi sana kujisafisha na kashfa hii

Hapa kama unaeleweka sasa.................. endelea
 
Madhara ya kuwalipa wanasiasa pesa nyingi. Angelipwa kama mwalimu wa shule ya sekondari (au hata mwalimu wa chuo kikuu tu) angepata wapi mapesa mengi ya kuchezea kiasi hicho?
 
Bazazi kapuya ,lakini hata akichomoa imemuharibia sana sifa yake kuanzia nyumbani kwake(family) hadi kitaifa nadhani katumia fedha nyingi sana kujisafisha na kashfa hii

Kapuya hajaharibu jina lake kwa mai waifu wake wala watoto. Hili tukio family yake wanaliona kama unavyomiona askofu akiingia kwenye ibada. Family yake imepinda sio pole pole
 
Back
Top Bottom