Rais wetu aliwahi kutoa onyo kuwa watu wasidanganyike na sura yake, wasidanganyike na tabasamu lake.
Nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu sana toka alipotoa maneno hayo ili nifahamu sura yake kamili na maana ya tabasamu lake ila nimefeli, sijaambulia kitu.
Ndio maana leo naomba msaada kwa waliomfahamu vizuri, wapendwa; Jakaya Mrisho Kikwete ni nani?
1. Je, ni mwanamapinduzi au labda ni mwanamageuzi?
2. Je,ni mtu asieogopa kujaribu au ni mtu asiyejua anachojaribu?
3. Je,ni dicteta aliyejificha kwenye ngozi ya democrasia au ni mtu mwenye misimamo isioyumba?
4. Je, ni mtu msafi aliyezungukwa na waizi au ni mafia anayetumia mkono wa giza kufanya mambo yake?
5. Je, Magufuli ni zawadi ya Kikwete kwa Tanzania au ni toleo la pili la Kikwete?
Wadau nisaidieni kujua, Jakaya Mrisho Kikwete ni nani?
Mkuu kama ungeweza kupata mawsiliano na J.mnyika anamfahamu vizuri sana huyu jamaa.Rais wetu aliwahi kutoa onyo kuwa watu wasidanganyike na sura yake, wasidanganyike na tabasamu lake.
Nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu sana toka alipotoa maneno hayo ili nifahamu sura yake kamili na maana ya tabasamu lake ila nimefeli, sijaambulia kitu.
Ndio maana leo naomba msaada kwa waliomfahamu vizuri, wapendwa; Jakaya Mrisho Kikwete ni nani?
1. Je, ni mwanamapinduzi au labda ni mwanamageuzi?
2. Je,ni mtu asieogopa kujaribu au ni mtu asiyejua anachojaribu?
3. Je,ni dicteta aliyejificha kwenye ngozi ya democrasia au ni mtu mwenye misimamo isioyumba?
4. Je, ni mtu msafi aliyezungukwa na waizi au ni mafia anayetumia mkono wa giza kufanya mambo yake?
5. Je, Magufuli ni zawadi ya Kikwete kwa Tanzania au ni toleo la pili la Kikwete?
Wadau nisaidieni kujua, Jakaya Mrisho Kikwete ni nani?
Duh! Hii mada ya kupuuzi sana. Wameacha kujadili masuala muhimu kama ajali ya mchungaji Mtikila wanajadili watu
tulia wewe ccm iko poa sana kwa sasa hivi so we mpe kura magufuli afu utapata hayo maendeleo unayotaka. Magu yupo kitofauti sanaaani tolea la pili, kwan kwa hali iliyopo ni vigumu ccm kutuletea maendeleo tunayoyahitaji. Ikiwa pindi ipo madarakani ilikuwa hawez kufanya maamuz magumu zidi ya miss use of public funds
Ni rais mwenye hotuba nzuri na ndefu lakini utekelezaji zero.
Waizi=Wezi
Kikwete ukitaka umuelezee yeye ni nani utajaza kaunta buku 5. Kwa kuanzia jk ni vasco da gama wa Tanzania.