Mmekosa watu wengine wakuwaweka?? Bora mgemuacha kule Ikulu aendelee kugawa chai na Juice!Huyu Mzee wa toka enzi za Nyerere, wakati wa Nyerere na suit hizi wapi na wapi? ilifaa waelimishwe kuvaa suti, kwanza suti hizi hazifungwi vifungo vyote hufungwa kimoja tu cha kati ikibidi.
Huyo ni punguani asiyejuwa kuvaa suti kama mapunguani wengine, lakini umeshamuona mwenyewe toto la Bwagamoyo likitia suti? Utapenda uwe kama yeye. Wapiiiiiiiiii?
Mmekosa watu wengine wakuwaweka?? Bora mgemuacha kule Ikulu aendelee kugawa chai na Juice!
Kwakweli rais wetu amefanya kazi kubwa sana,hadi kuweza kuziona billion 300 ni fedha za madafu amejitahidi sana???watu wamepigwa hadi kusokomewa vijiti kwenye nyeti zao(operation tokomeza)amejitahidi sana kuwakenulia wezi rais wetu mpendwa sio eti???Nashindwa kuelewa mnaposifu akili zenu huwa mnaficha kwapani au???
Huyo mzee hata akikosea akaingia ofisini bila nguo bado anawahenyesha chadema, alikotokea. Sasa ulitegemea nini alikotokea ni magwanda kwa kwenda mbele. Baada ya hapo tukampeleka kijana ma fashion ampe darsa, hujaona?
Huyu Mzee wa toka enzi za Nyerere, wakati wa Nyerere na suit hizi wapi na wapi? ilifaa waelimishwe kuvaa suti, kwanza suti hizi hazifungwi vifungo vyote hufungwa kimoja tu cha kati ikibidi.
Huyo ni punguani asiyejuwa kuvaa suti kama mapunguani wengine, lakini umeshamuona mwenyewe toto la Bwagamoyo likitia suti? Utapenda uwe kama yeye. Wapiiiiiiiiii?
Hueleweki. Umekaa ki nafiki nafiki tu. JK ni rais wa hovyo kuwahi kutokea duniani
Huo ndiyo ukisikia ufupi wa mawazo.
Na wewe uliamini jina Kigoma litageuka kuwa Dubai?
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
lukeblair;
Usifadhaike; akili zao hazipo walipo, zimeachwa stoo pale Lumumba, mpaka jioni ili mlipa buku 7 asipate shida kuhesabu ni vichwa vingapi vilibaki pale ofisi ndogo mpaka jioni.
Faiza Foxy anasema hakuna aliyewahi kufanya makuu ka JK. Naona uzi huu kaandika yeye na kujijibu yeye. Haikosi huyu ni bi mkuu
Siamini kama una akili fupi hivyo, siku zote nilikuwa jabizana na wewe nikidhani una uelewa mzuri wa mambo kumbe nilikuwa najidanganya. Sitajibizana tena na wewe, malizia ni rais pekee aliyepata uprofesa china. Utawala bora upi upo tanzania wewe, umesoma ripoti za taasisi za kimataifa. Tuzo ni nini? Unajifanya hujui lengo la wanaompa. Kuitwa na obama umeona ni hatari sana, inaelekea wewe ni mpenda mteremko sana.Sitegemei punguani kama wewe kunielewa.
Kikwete ndiye Rais pekee na wa kwanza Tanzania aliyepata tuzo ya utawala bora, kumbuka hilo.
Kikwet endiye wa kwanza kualikwa rasmi na Obama kutokea Afrika alipochukuwa madaraka USA.
Kikwete ndiye Rais wa kwanza dunia aliyeweza kuwakutanisha Marais wanne kwa pamoja Afrika kwa wakati mmoja, Obama, Bush, Clinton na Jimmy Carter. Haijwahi kutokea kwingine.
Na mengine mengi ya kwanza ya Kikwete nikianza kuyaweka hapa tutakesha.
Wewe hata unachokibishia hukielewi ni nini.
Development ya Tanzania wakati wa Kikwete inaongelewa Kimataifa ni kati ya nchi 20 zinazo develop kwa haraka duniani:
Fastest-Growing Economies Through 2015 - Business Insider
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Sawa bwana najua saa hizi mko Mbeya mnapanga mikakati ya kulazimisha matokeo uchaguzi mkuu 2015. Imekula kwenu!. Mtakutana sana!. Ninyi ni weupe peeee!
Nimeguswa!.As you signing off Sir keepon praying for your nation ili kikombe cha siasa chafu ya wasaka madaraka hali mikono yao ikinuka rushwa, kiliepushe taifa kuingia kwenye machafuko.
Watakuja watu kubeza hayo mafanikio. Mimi huwa nnawaambia wachanganye awamu zote waone kama Kikwete hajafanya zaidi ya wote.
Kwakweli rais wetu amefanya kazi kubwa sana,hadi kuweza kuziona billion 300 ni fedha za madafu amejitahidi sana???watu wamepigwa hadi kusokomewa vijiti kwenye nyeti zao(operation tokomeza)amejitahidi sana kuwakenulia wezi rais wetu mpendwa sio eti???Nashindwa kuelewa mnaposifu akili zenu huwa mnaficha kwapani au???