Jakaya Kikwete: Stop charging in foreign currency

Jakaya Kikwete: Stop charging in foreign currency

Your logic must also be all fucked up...you seem not to comprehend the significance of tol's reasoning, could this be intentional?
Nope,
Because 2005 budget was only 4.2 trillion shillings and exchange rate was 1167, so the total budget was roughly 3.5 bn $ and was 40% dependent.

Current budget stands at 10bn$, so you can tell that the numbers are all fvcked up. That article by whoever, can easily be discredited based on poor conversion. Putting a budget in terms of tens of millions is absurd, and it showed a lack of proof reading, if not understanding.
It's actually stupid to copy such an analysis.
 
Ni heri tutangaze tu kuwa sasa USD ndo legal tender nchini.

Hatutakuwa wa kwanza hapa duniani kufanya hivyo.

Halafu huyu jamaa anavyopenda kuzurura hadi inatia aibu kwa kweli.

Sasa akitoka huko India sijui [au sijui keshaondoka tayari?] ataenda wapi tu!

Sitashangaa hata akienda Vanuatu kwenda kuaga na huko.
 
Kwanini hakusema akiwa ikulu au alipo hutubia bunge? Hii nchi inashangaza kwa kweli!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Siwezi kushangaa hili...kwa sababu hata sisi wananchi tunastahili lawama kwa kuwa bado watu wana ulimbukeni wa dola.....kila mtu anajisikia fahari kulipa kwa dola...hata baadhi wanaiita hela yetu kuwa ni hela ya madafu.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duniani kote..katika nchi inayoendeshwa katika misingi ya kidemokrasia...serikali iliyopo madarakani huchaguliwa na wananchi kwa ajili ya kuwatumikia wananchi.......... na wananchi wana jukumu la kulipa kodi kwa ajili ya taifa lao kwa ajili ya kuendeshea shughuli mbali mbali za kijamiii kwa usimamizi wa serikali iliyopo madarakani...........Serikali yoyote inapokwenda kinyume na matakwa ya wananchi ambao ndio walioiweka madarakani ni kwamba serikali hiyo haifai kuendelea kuwaongoza kwani tayari imeshapoteza sifa kwa wananchi ambao ni kama wamewasaliti....hivi karibuni tumeshuhudia maandamano katika nchi mbali mbali dunian....yaliyofanywa na wananchi kwa dhumuni la kuipinga serikali yao kwa kwenda kinyume na matakwa yao......maandamano ambayo yamezaa mapinduzi ambayo hayakutegemewa na wengi.....mfano nchini LIBYA ,MISRI, TUNISIA na sasa bado kuna fukuto la mageuzi nchini BURUNDI kutokana na vurugu za wananchi wanaoipinga serikali yao....Ukitazama kwa jicho la tatu utagundua kuwa tatizo kuu la matatizo ya WATANZANIA sio viongozi wetu bali ni sisi wananchi tuliokaa kimyaa na kuyanyamazia maovu yanayotendwa na viongozi wetu au serikali yetu.........Mwana sayansi mmoja alipata kusema kuwa "DUNIA HAIWI SEHEMU MBAYA YA KUISHI KWA MABAYA YANAYOTENDWA NA WATU WABAYA BALI , KWA WATU WANAOTAZAMA HAYO MABAYA YAKITENDEKA ALAFU WASICHUKUE HATUA".......Katika kipindi cha miaka kumi ya utawala uliopo madarakani WATANZANIA tumeshuhudia UOVU mwingi uliofanywa na serikali yetu tulioichagua kwa kura zetu nyingi tu.....katika kipindi cha miaka kumi ya utawala wa serikali yetu hii ,tumeshuhudia ubadhirifu mkubwa wa mali za umma uliofanywa na viongozi wetu wa umma tuiowachagua kwa kura za kishindo.....Tumeshuhudia ufisadi wa kutisha katika kila Nyanja ya serikali hii uliofanywa watendaji wa serikali ,huku wengine wakitukejeli kwa kutuambia kuwa hela walizokwapua ni hela za mboga tu....huku wengine wakisema kuwa ni vijisenti tu kwa kuwa zipo nyingi zaidi ya hizo zilizoibwa na kufichwa katika akaunti za nje...Lakini cha kushangaza pamoja na uovu huu uliofanywa na serikali na watendaaji wake lakini bado WATANZANIA bado walibaki kimya zaidi ya kulalamika tu..........Katika kipindi cha maisha yangu yote sijapata kuona uvumilivu wa namna hii uliooneshwa na WATANZANIA kwa kuwa ni uvumilivu unaoelekea kwenye ujinga uliotopea.....Pamoja na kulipa kodi zote na kufanya kazi kwa bidii lakini mpaka leo WATANZANIA hatuna uhakika wa huduma za afya isipokuwa kwa viongozi wetu ambao hutumia kodi zetu kwenda kutibiwa nje ya nchi kana kwamba wao ndio wenye haki ya kuishi........Pamoja na misaada mingi kutoka kwa nchi wahisani au wafadhili kwa kila mwaka wa fedha lakini bado WATANZANIA hatuna miundombinu ya uhakika ya kuweza kufika unapopataka na kwa wakati unaoutaka...Pamoja na kuwa na jeshi la polisi kubwa linalopata mishahara mizuri kutokana na kodi zetu lakini bado WATANZANIA hatuna uhakika wa usalama wetu na mali zetu hata zikiwa mikononi mwa polisi isipokuwa kwa viongozi wetu .....Pamoja na utitiri wa shule za kata lakini bado elimu yetu haina ubora isipokuwa kwa watoto wa viongozi wetu tu wanaopelekwa kusoma shule za kimataifa na wakati mwingine nje ya nchi.........Pamoja na kujaaliwa rasilimali nyingi lakini bado taifa hili linazidi kurudi nyuma kimaendeleo baaada ya kusonga mbele na vijana wengi hawana ajira isipokuwa kwa watoto wa vigogo tu........Jambo la kujiuliza ndugu zangu WATANZANIA ni kwamba TUTAYAVUMILIA HAYA MPAKA LINI YAKITENDEKA MBELE YA MBONI ZA MACHO YETU..??? Tusipochukua hatua sasa wajukuu zetu watakuja kutuona sisi WASALITI na siku moja watayachapa bakora makaburi yetu kwa hasira kuu.......kwa sababu kesho bora ya wajukuu zetu na vitukuu vyetu vinategemea sana maamuzi yetu ya leo hii.........Leo hii watu wanamkumbuka Mwl Nyerere si kwa ualimu wake wala kwa uzanaki wake bali kwa uongozi wake bora na imara na maamuzi mazuri aliyokuwa akiyafanya kwa manufaa ya taifa lake....na uzalendo wake kwa taifa lake................UVUMILIVU WETU UISHIE KWENYE UCHAGUZI MKUU ULIO MBELE YETU.......TUWACHAGUE VIONGOZI WENYE MAONO NA DIRA ZA KUTUFIKISHA KULE TUNAPOPATAKA SI KWA MANENO YAO BALI KWA REKODI ZAO ZA KIUTENDAJI HUKO NYUMA........TUACHE USHABIKI USIOKUWA NA MSINGI BALI TUWEKE MUSTAKABALI WA TAIFA LETU MBELE.....MAENDELEO, AMANI NA UTULIVU KWENYE TAIFA HILI VINAWEZEKANA BILA HATA YA SERIKALI YA CCM..........YES WE CAN...........
 
Tutakutana October!! Mbona kitaeleweka tuu!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani yeye alivyosafiri kwenda huko India analipwa posho yake kwa dola ama shilingi? Nauliza tu.
 
Amenichefua sana kwa hii statement.
Kwanza forum aliotumia kusema hivi
Pili muda
Yani hapa sasikia kichefuchefu.
Jamani kero hizi za aibu kwa nchi zitaisha lini???????
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Anaamka asubuhi ndio anakumbuka kujifunika shuka. What a pathetic leader..
 
kumbe BAK yule aliesema kuwa Pesa ya Madafu ni nani? sio huyu huyu JK?? Nimeuliza tu Mkuu no offense intended
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
kumbe BAK yule aliesema kuwa Pesa ya Madafu ni nani? sio huyu huyu JK?? Nimeuliza tu Mkuu no offense intended

Pesa yako unaidharau halafu unataka watu wako waitumie. Kweli tutashuhudia viroja.
 
Last edited by a moderator:
stop charging in foreign currency-jk

by correspondent

20th june 2015

jk-20june2015(3).jpg

president jakaya kikwete

president jakaya kikwete has warned school owners and other business entities operating in the country to immediately stop charging tanzanians in foreign currency, taking them to task into adhering to the national monetary policy.

the president issued the warning on wednesday night when talking to tanzanian diaspora in new delhi in his first day of the four-day official visit in the indian sub-continent at the invitation of his counterpart president pranad mukherjee.

the diaspora had been moved by headlines in tanzanian media that the local market was overwhelmed by foreign currency transactions including instances of dual pricing in some services involving apartment rentals, fee payments in english medium international schools, supermarkets and hotels.

but in the past six months following the drastic plunge of shilling caused by deficiency of dollar in the circulation, allegedly hoarded by a group of people stashing the currency abroad amid the violent october elections phobia, american dollar has conspicuously come out of its closets to sell openly even among the small scale businesses.

He said a tanzanian should not be forced into paying bills in foreign currency, but foreigners in designated areas.

Meanwhile, the members of diaspora also wanted to know about the state of affairs in the recent escrow tegeta account corruption scandal that shook the nation, caused the political demise of some politicians and plunged the popular rating of kikwete’s government into record low.

“we have empowered institutions such as the prevention and combating of corruption bureau (pccb) public procurement regulatory authority (ppra), controller and accounts general (cag) office and ensure that the reports issued are openly discussed in the parliament”, said the president implying steps his government has taken in dealing with corruption.

however, he said the fight against corruption is a sophisticated and diversified phenomenon that it needs collective efforts that will include the government, the public and other stakeholders to overcome.

He said pccb and other institutions have been given more mandate to deal with corruption related cases now compared to 2005, adding “their power has increased 10 folds” following the increase in corruption-related cases.


when he was taken to task over a number of accidents that have taken thousands of his compatriots victims of death in the past three years, president kikwete simply answered that the road accidents were mostly due to laziness caused by drivers who systematically violate traffic rules that include taking alcohol and reckless driving.

source: The guardian


cc: tized, mr rocky, fixed point, lyinga, measkron, nata, chakaza, elly b, ablessed, michelle, everlenk, kikulachochako, emma, emt, alinda, daudi mchambuzi, arushaone, mzizimkavu, ablessed, afrodenzi, heaven on earth, power to the people, jasusi, eiyer, idawa, nguruvi, mentor, sikonge, dingswayo, mani, tpaul, bramo, bulesi bulldog, sangarara, mtazamo, erythrocyte, mag3, mimibaba, zumbemkuu, crashwise, amkawewe, idimi, ogah, chakaza, mshana jr, jokakuu, mwalla, genekai, prince crown, tuko, shark, lynxeffect22, samaki2011, moudyboka, adolay, elli, nyabhingi, janjaweed, s.n.jilala, meandu, tabby, candid scope, honolulu, august, dyuteromaikota, bongolala, gefu, bigirita, kozo okamoto, shark, mirisho pm, camp 05, ngoami, kamakabuzi, jerrytz, josam






kasema kitu lakini hana jipya
 
Last edited by a moderator:
Tour operators watallipa in dollars, kwa sbabu wanalipwa in dollars. Ukimgonga na bodaboda halali yako. Ila unaweza kupindisha maana ili iwe kipropaganda zaidi.

Matter of fact ni kuacha kutumia dollars kupunguza hoarding mitaani. Hata Billicanas ukichanja kadi ikiwa na $ wanakuuliza ili kujiepusha as if una option wakati kisheria huna option.

Ebu tuweni wakweli katika nafsi zetu...hivi ni lazima kweli hata tour operators na watalii kufanya malipo kwa US$?
Kwanini katika nchi za wenzetu huwezi kufanya malipo ya aina yoyote ile kwa foreign currency? Kama utalii mbona UK, US, Suisse, Denmark etc. upo, lakini malipo yanafanyika kwa home currencies. Sasa ili la TZ kuruhusu matumizi ya US$ kwa ajili ya wageni ni jambo la wapi?

Ningependa kuona marufuku ya matumizi ya foreign currencies kwa mtu yeyote akiwa ndani ya TZ, awe mtalii au mgeni wa aina yeyote ile, akifika airport kitu cha kwanza abadili foreign currency kwenda kwenye TZS, bila ya hivyo hawezi kufanya malipo popote pale.

Yaani hii inji ina vituko balaa
 
Linchi la kijinga kweli hili.

Umeona wapi eti hata kodi za pango la nyumba sehemu kama Sinza au Kurasini zinalipwa kwa dola?

Nchi ikiwa imejaa watu wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida kupata maendeleo ni ndoto!

Mimi siungi mkono huu utaratibu wa kuchaji malipo kwa dola, ila tatizo kubwa ni udhaifu na kutotabirika kwa mwenendo wa shilingi yetu!

Shilingi ingekuwa stable, wala wafanya biashara wasingeona haja ya kuchaji gharama kwa dola!
 
I think if we had a stable currency no one would demand payments in usd-but with ineffective fiscal and monetary policy and ofcourse corruption there is no way to stop this practice.

Traders and companies will stil price in us dollars indirectly-this will only increase the inflation rate!

Sign of POOR LEADERSHIP! MoF uko wapi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ebu tuweni wakweli katika nafsi zetu...hivi ni lazima kweli hata tour operators na watalii kufanya malipo kwa US$?
Kwanini katika nchi za wenzetu huwezi kufanya malipo ya aina yoyote ile kwa foreign currency? Kama utalii mbona UK, US, Suisse, Denmark etc. upo, lakini malipo yanafanyika kwa home currencies. Sasa ili la TZ kuruhusu matumizi ya US$ kwa ajili ya wageni ni jambo la wapi?

Ningependa kuona marufuku ya matumizi ya foreign currencies kwa mtu yeyote akiwa ndani ya TZ, awe mtalii au mgeni wa aina yeyote ile, akifika airport kitu cha kwanza abadili foreign currency kwenda kwenye TZS, bila ya hivyo hawezi kufanya malipo popote pale.
Ingia Dubai kutokea US au Eurozone. Tumia credit card uone watakavyokuja wafilipino huku wakikukenulia macho kukuuliza kama itakuwa okay wakichanja kadi in terms of USD.
Kwenye ATMs utapata hela ya nyumbani, ila ukiwa restaurant au kulipia hotels, wana uwezo wa kufanya transactions in dollars na huwa wanakuuliza. Tours huwa zinakuwa booked in forex, ukiwa na Zimbabwean dollars, watataka ukazibadilishe kwanza halafu ndiyo ubook.
Ukimgonga nyati kama wewe ni tour operator, basi lipia in dollars kwa sababu wanajua bkuwa transactions zako zipo in dollars, if not basi lipia in Shillings, hautakataliwa ila watalii lazima wajue gharama ya kumgonga nyati in international currency.
 
Ingia Dubai kutokea US au Eurozone. Tumia credit card uone watakavyokuja wafilipino huku wakikukenulia macho kukuuliza kama itakuwa okay wakichanja kadi in terms of USD.
Kwenye ATMs utapata hela ya nyumbani, ila ukiwa restaurant au kulipia hotels, wana uwezo wa kufanya transactions in dollars na huwa wanakuuliza. Tours huwa zinakuwa booked in forex, ukiwa na Zimbabwean dollars, watataka ukazibadilishe kwanza halafu ndiyo ubook.
Ukimgonga nyati kama wewe ni tour operator, basi lipia in dollars kwa sababu wanajua bkuwa transactions zako zipo in dollars, if not basi lipia in Shillings, hautakataliwa ila watalii lazima wajue gharama ya kumgonga nyati in international currency.

Sasa unaongelea Dubai! Dubai ni uswahili kama wa kiTZ. Nchi za Mashariki ya Kati si za kutolea mifano!

Je, hayo uliyoyasema yanawezekana US, UK, Scandinavia, Suisse, Deutschland etc.?

Kwa lazima wajue in international currency?!? Hapo ndipo sikuelewi!

Hivi kwenye nchi nilizozitaja hapo hakuna sekta ya utalii?!? Ipo tena kubwa kuliko ya TZ. Lakini, huwezi kukuta ati kwenye mabango au maelezo juu ya fines mbalimbali wameandika foreign currency!

Je, umeshaenda Yellowstone NP na kuona bango linaonyesha fine in British quid? Umeshaenda Rhine Falls ukaona wameonyesha fine in US$?!

Tafadhali aisee...kuruhusu matumizi ya foreign currency katika sekta yoyote ile ndani ya nchi, ni kuua thamani ya home currency. Siyo mchumi, lakini hili halihitaji mtu awe mchumi.
 
JK bhana muda wote miaka 10 alikuwa wapi huu ndo usanii wa viongozi wa ccm kunapokaribia uchaguzi mkuu huu mwaka watanzania hawadanganyiki tena ccm tumepumzisha mmechoka sana na sisi wananchi tumeshawachoka na ahadi zenu hewa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom