Jakaya Kikwete: Stop charging in foreign currency

Jakaya Kikwete: Stop charging in foreign currency

Am I reading this right, please fellow wananchi help me understand this... the President has warned? Is this a joke? Je ameonya au ameagiza? Watu wanavunja sheria na hawakuanza leo na licha ya malalamiko ya siku nyingi Raisi analalama na kuonya. Au ndio yale yale? Nakumbuka aliwahi kuwaomba wezi warudishe walichoiba!

Bila aibu leo tena anawaonya wahalifu eti wafuate sheria, uhalifu unaofanyika mchana kweupee na wazi wazi bila kificho. Mtu aliyeapa kuilinda na kuitetea Katiba akiwa ameshika msahafu mkononi! Hata hivyo hakuna cha ajabu hapa, pamoja na upuuzi wote huu bado eti anaungwa mkono na asilimia kubwa ya Watanzania.

Kikwete anajua Mtanzania wa kawaida hawezi kuhusika na madudu kama haya, wahusika ni rafiki zake, ndugu zake na washikaji wake wanaoendelea kubaki kwenye nyadhifa zao kwa sababu anawapenda, anawatetea na anawalinda. Ni kama vile kwa hii miezi mitano iliyobaki ameamua kufanya juu chini kulihujumu taifa.

Je malengo ya kiongozi wetu huyu ni nini? Nisaidieni jamani!

Mkuu he has issue an order but believe me nothing will change.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu hawa hata hawachaguliwi wanaiba kura, wananunua urais kwa kutoa rushwa za mabilioni ya kifisadi. Wenyewe hawana hata woga wala aibu jinsi wanavyoiangamiza nchi kwa maamuzi yao mbali mbali ambayo hayajali kabisa maslahi ya Tanzania na Watanzania. Angalia kwa mfano hili zoezi la kuwaandikisha wapiga kura jinsi lilivyojaa uhuni wa hali ya juu kila kona nchini. Watanzania wanapiga kelele chungu nzima kuhusu mashine za BVR zinavyokwamisha Watanzania kujiandikisha lakini wahusika wa kurekebisha hali hii wameamua kupiga kimya kama vile hawahusiki.

Mkuu ila watanzania wenyewe ni wazembe, nakwambia watu 'wakikomaa' kutotoka kwenye vituo vya upigaji kura till matokeo yatangazwe then mass media isikubali kununuliwa! Nakwambia/nakuhakikishia hakuna uibaji wa kura wala kutangazwa kwa matokeo feki watu watahesabu(kujumlisha idadi ya kura sehemu zote wenyewe). Tukifanya hili tunaweza, ila shida inakuja nobody cares, for those few hours which will determine that long five years journey.

Tukubali, Tumeridhika, hatutaki mabadiliko. We are in the mud, and the thing is not only we are comfortable, but we like being there!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu he has issue an order but believe me nothing will change.
Mkuu wangu MANI, hii ni issue serious...leo hii dola imefikia 2300 wakati juzi tu, miezi miwili iliyopita, ilikuwa ni 1700! Wanaochaji malipo kwa dola ni wahujumu uchumi, period. Hawa watu wanajulikana na kama ni mashirika yanajulikana na stakabadhi zipo, kwa nini asiagize wakamatwe na kufunguliwa mashtaka? Najua Kiongozi Mkuu wa serikali aliwahi kusema wahalifu wana nguvu kiasi wakikamatwa taifa litayumba! Ona sasa, mambo yale yalee! Walinda sheria na wavunja sheria wameamua kuweka nguvu ya pamoja kulihujumu taifa na wanachi tupo, tunaangalia taifa likiteketea...kama si hujuma ni nini?
 
Mkuu humfahamu President wako? Naomba nikukumbushe, akijitahidi zaidi ya hapo atakwambia, ' wanaofanya hivyo tunawajua, na majina yao tunayo...tunawaomba waache, vinginevyo tutawataja'.
 
Linchi la kijinga kweli hili.

Umeona wapi eti hata kodi za pango la nyumba sehemu kama Sinza au Kurasini zinalipwa kwa dola?

Nchi ikiwa imejaa watu wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida kupata maendeleo ni ndoto!

Kodi zenyewe halafu hazina regulator watu wanajipangia tu bei watakavyo halafu wanalazimisha ulipe kwa mwaka!
 
Hahaha i knew he had a great sense of humour but this is the best ever. Wenzie wana sheria yeye anatoa 'warning'. Shkamoo jk
Hebu fikiria scenario hii, unaamka asubuhi unakuta heading hii kwenye magazeti, Raisi Kikwete awasimamisha kazi Waziri wa Fedha na Gavana wa Benki Kuu... ha ha haa, nilikuwa naota tu.
 
Hawezi thubutu. Adui wa tz ni rushwa tuuu. Money scams zitapita wapi tukianza kucontrol foreign currencies zisitumike? Hamna mpya, ccm ni kama kambale. Kuanzia baba, mama na watoto wote wana ndevu!

Vuta blanket ndugu
Hebu fikiria scenario hii, unaamka asubuhi unakuta heading hii kwenye magazeti, Raisi Kikwete awasimamisha kazi Waziri wa Fedha na Gavana wa Benki Kuu... ha ha haa, nilikuwa naota tu.
 
Vuta blanket ndugu

IMG-20150620-WA0017.jpg

Sawa ndugu yangu nitavuta blanketi lakini Octoba mbali! Sijui siku naamka kama nitaweza hata kutembea...
nb: Hapo juu sijui kama mabango kama hayo ya serikali nayo yote yatakuwa yameng'olewa, ha ha haa...nacheka kwa uchungu lakini...
 
Kodi zenyewe halafu hazina regulator watu wanajipangia tu bei watakavyo halafu wanalazimisha ulipe kwa mwaka!

Acha kabisa aisee . Hili suala nalijua vyema kabisa because I'm a rental property owner myself.
 
Mkuu wangu MANI, hii ni issue serious...leo hii dola imefikia 2300 wakati juzi tu, miezi miwili iliyopita, ilikuwa ni 1700! Wanaochaji malipo kwa dola ni wahujumu uchumi, period. Hawa watu wanajulikana na kama ni mashirika yanajulikana na stakabadhi zipo, kwa nini asiagize wakamatwe na kufunguliwa mashtaka? Najua Kiongozi Mkuu wa serikali aliwahi kusema wahalifu wana nguvu kiasi wakikamatwa taifa litayumba! Ona sasa, mambo yale yalee! Walinda sheria na wavunja sheria wameamua kuweka nguvu ya pamoja kulihujumu taifa na wanachi tupo, tunaangalia taifa likiteketea...kama si hujuma ni nini?

Mkuu hizi order zimeshatolewa mda mrefu na hakuna lolote. Kuweka sheria na kuisimamia ni vitu viwili tofauti.
 
Anatuambia sisi ama wao madiaspora? Ama ndio anafanya 'remote control'??!

Very funny guy!
 
Sheria si zipo?, Mapolisi wapo na wanaolipa ni wananchi kama mimi na wewe. Sasa kwanini wasikamatwe au tunategemea nani awakamate?
 
Nachukizwaga na maamuzi ya zima moto kama haya!!
 
Sheria si zipo?, Mapolisi wapo na wanaolipa ni wananchi kama mimi na wewe. Sasa kwanini wasikamatwe au tunategemea nani awakamate?

IMG-20150620-WA0017.jpg

Je hapa akamatwe nani?
Lugha ni yetu, hela ni ya Marekani!
 
Halafu kama mmegundua sasa hivi thamani ya shilingi dhidi ya dola inashuka karibu kila siku . Jaribuni tu kufuatilia kuanzia jtatu hadi ijumaa na mtajionea wenyewe.
 
Namwomba Raisi aziambie taasisi za serikali ziache kucharge client wao kwa dola kabla ya kulazimisha private sector. Mimi nina ushahidi kabisa nalipa Pango kwenye taasisi moja ya serikali kwa dola.
 
Wakuu,

Nchi inahujumiwa na raisi Kikwete anafahamu hilo na CCM wanafahamu hilo.

Nchi haina Sokoine mwingine ambae angehakikisha wale wahujumu uchumi wote wanaswekwa ndani na nchi inarudi kwenye mstari.

Nchi yetu inayumba sana kwa sasa.
 
Back
Top Bottom