Jakaya Kikwete: Stop charging in foreign currency

Jakaya Kikwete: Stop charging in foreign currency

ndio tunashangaa dalili za enforcement ya mapendekezo mazuri kama yako yanachukuliwa sasa hivi na kiongozi wetu mkuu, wewe hushangai?
alikuwa ameappoint watu wengi tu miaka hii 10 hawakusimamia na yeye hakujali au hakujua au ......
Sheria zipo, taasisi zipo ....
Magavana wanasema kila siku kuhusu matumizi ya dola leo siyo mara ya kwanza msitake kutudanganya hapa. Hiyo ni response kutokana na swali aliloulizwa, siyo kwamba aliamka asubuhi na kutamka hayo maneno. Kwa hiyo sioni cha kushangaa hapo, msitake kukuza issue, tafuteni sera.
 
wanafix bei kwa dola mfano usd 350 kwa mwezi

mlipa kwa shilingi hapo nyuma angeambiwa alipe 350X1500 =525,000
leo anaambiwa alipe 350X2100=735,000

imagine bei ya bidhaa kubadilika hivi na wewe mshahara haubadiliki- kodi ya nyumba, karo za shule matibabu etc

Hii lakini sio kinyuma na sheria, unachosema ni kwamba mfanyabiashara asiweze kuongeza/kupunguza bei za bidhaa zake kitu ambacho hakiwezekani kumbuka kuwa expenses kubwa za DSTV zipo in dollars kwa hiyo shilingi ikishuka na akaweka bei ile ile basi lazima aingie hasara.

Pia hii haisababishi kupungua thamani shillingi kwa ueleo wangu maana unatumia shillingi kulipa so hakuna demand ya dollar kuongezeka.

Kitu kilichokuwa kinyume na sheria ni kutaka malipo kwa Dollar sio kupanga bei zako kutokana na thamani ya shilingi.
 
Mtu yeyote anayetumia dollars kulipia pango la nyumba, kulipia restaurants au huduma nyingine Tanzania, anavunja sheria ya nchi. Kwani hilo hulijui? Na lini kuna mtu aliruhusiwa kupangisha nyumba kwa dola?
Kama hakuruhusiwa mtu yeyote kufanya transactions kwa kutumia dollars, na bado watu wanafanya hizo transactions wewe ulitaka rais aseme nini? Aseme tumieni tu au.

Sasa kuna haja gani ya kuwa na serikali?! Kama haya mambo yanafanyika na serikali inafahamu, kisha inakaa kimya, basi kumbe hakuna haja ya kuwa na serikali! Anyway kwa kuwa ni serikali ya wapigaji, mambo shikide tu!
Kuweka rekodi sawa, mimi wala sijataka rais aseme kitu! Kwa sababu sitegemei kusikia la maana kutoka kwake, na wala siwezi kupoteza sekunde ya muda muda kumtaka aseme kitu. Bwana Mnyika alishafunga mjadala kuhusu bosi wako..

Transactions za vibali vya Oil rigs vinaweza kulipiwa kwa dollars, hapo sioni tatizo lolote, lakini haimaanishi kuwa haviwezi kulipiwa kwa shillings. Tanzania hamna Oil rigs za explorations, hizo ni very expensive kwa hiyo oil exploration yeyote ile lazima itakuwa na mkono wa kampuni ya nje hata kama itapewa jina la Simba explorers.

Sielewi ulichotaka kukisema hapa. Mara umesema "transactions za vibali vya oil rigs vinaweza kulipiwa kwa dollars.." Mara tena, "Tanzania hamna oil rigs za explorations..."

Anyway, ngoja nifanye kama nimekuelewa logic yako. Oil rigs ama explorations kuwa na mkono wa kampuni ya nje, haina maana hizo kampuni zinapaswa kuoperate nje ya sheria za nchi! Sheria za nchi haziruhusu malipo kufanyika ndani nchi kwa currency tofauti zaidi ya TZS. Ila kwa serikali hii ya wapigaji, mambo mukude tu!

Ngoja nikupe maelezo ya dollarization in another perspective. Watanzania hawana dollars, dollars zinatoka nje na either zinaweza kumilikiwa na Benki kuu na kununuliwa kwa kibali maalum au zinaweza kumilikiwa na watu binafsi na kununuliwa bila masharti yeyote.

Duh! Sasa hao watu binafsi wanaoweza kumiliki ni raia wa nchi gani?!? Pia ulichokisema mbona kipo wazi! Dollars si currency ya TZ, hivyo lazima dollars zitoke nje! Is this all you got? And you call this "dollarization in another perspective"

Dollar imepanda kulinganisha hata na Euro na hilo si kosa la mtu yeyote. Kosa ni pale ambapo watu binafsi wanahodhi dollars kwa wingi kuliko benki kuu. Matokeo yake ni hoarding ili kupata faida kubwa. Kama demand ya dolars ikiwa kubwa, basi thamani yake itaongezeka. Dollars haziingii benki kuu kama zinavyotoka na sababu mojawapo ni matumizi ya dola kwenye kulipia transactions za ndani zisizohitaji dollars na hilo ni kosa letu sisi watanzania kwa ujumla, tusipende kulaumu mtu yeyote.

Hivi arifu unatambua unachokiandika lakini? Sasa kama ndivyo, nini maana ya kuwa na serikali??? Kwa hiyo kama ni kosa letu watanzania, kurekebisha ni mpaka pale watanzania watakapoamua kuingiza dollars benki kuu na kuacha kufanya malipo ya ndani kwa dollars?!!? Sasa kama ndivyo, kumbe tunapoteza pesa kufanya uchaguzi wa kuunda serikali kila baada ya miaka mitano, wakati waTZ wanaweza kujiongoza wenyewe na kufanya yale wanayoona yanafaa?!?!?

Hata baadhi ya Clubs na hotels zinazomilikiwa na wanasiasa wa upinzani zinatoza dollars.

Doh! Aisee wewe arifu kumbe ni mweupe hivi?!?
Kwa hiyo hili ni kosa la nani? Nini maana ya kuwepo sheria? Mbona polisi wana usemi tia sheria bila shuruti?! Ina maana usipotii utapata shuruti. Sasa serikali inasubiri nini kuwapa shuruti wasiotii sheria? Kwa hiyo kama wanasiasa wa upinzani wanavunja sheria, basi uvunjifu wa sheria unakuwa legitimised ama?

Foreigners wakilipa dollars kwenye taasisi za serikali kuna ubaya gani wakati hela hizo zitaishia BoT? Tatizo ni forex kutoishia BoT, na kufanya watu binafsi wazibanie.

Mh! Kazi ipo. Hivi umesoma kweli nilichokisema?!? Ebu karudie tena kusoma chifu.
Hata kama hukuelewa, sasa kusema kuwa hakuna shida kama wageni wakifanya malipo kwa taasisi za serikali ndani ya nchi, basi naona tunapotezeana muda kama ulivyosema hapa chini....

Mwisho kabisa, tarehe 20 Juni mwaka jana Euro ilikuwa 2300 na sasa hivi leo Euro ni 2300. Dola ilikuwa 1600 sasa hivi 2300. Why don't we stick to Euros kama tunataka ku=order hizo Aple products unazosema bei yake Europe ni ileile?Do you really get my fvckin points au tunapotezeana muda?

Doh! Naona kweli tunapotezeana muda tu arifu...maana kama umeshindwa hata kutambua tofauti ya currency signs za British Pound (£) na Euro (€), hakika tunapotezeana muda. Toka lini UK wanatumia € kama currency yao?!?

I surrender....maana hapa hakuna mjadala, zaidi ya kupotezeana muda kama ulivyosema...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa kuna haja gani ya kuwa na serikali?! Kama haya mambo yanafanyika na serikali inafahamu, kisha inakaa kimya, basi kumbe hakuna haja ya kuwa na serikali! Anyway kwa kuwa ni serikali ya wapigaji, mambo shikide tu!
Kuweka rekodi sawa, mimi wala sijataka rais aseme kitu! Kwa sababu sitegemei kusikia la maana kutoka kwake, na wala siwezi kupoteza sekunde ya muda muda kumtaka aseme kitu. Bwana Mnyika alishafunga mjadala kuhusu bosi wako..

Hata usngetaka aseme kitu, ilibidi aseme kwa sababu aliulizwa swali Na unalijua hilo.
Hayo mambo ya Mnyika kumaliza unayajua wewe, siwezi kumuheshimu mbunge aliye-walk out na baadae kutumia nenO rais ku-refer the same person he walked-out against. I call that a coward.

Sielewi ulichotaka kukisema hapa. Mara umesema "transactions za vibali vya oil rigs vinaweza kulipiwa kwa dollars.." Mara tena, "Tanzania hamna oil rigs za explorations..."
Anyway, ngoja nifanye kama nimekuelewa logic yako. Oil rigs ama explorations kuwa na mkono wa kampuni ya nje, haina maana hizo kampuni zinapaswa kuoperate nje ya sheria za nchi! Sheria za nchi haziruhusu malipo kufanyika ndani nchi kwa currency tofauti zaidi ya TZS. Ila kwa serikali hii ya wapigaji, mambo mukude tu!

Thats the problem kutokuelewa.
Oil rigs ni mfano mmojawapo wa transactions zinazolipiwa kwa dollars (vibali vyake) kisheria. If you don't know, now you know ... kwa hiyo hata jibu lako lipo kama mguu wa jini.

Duh! Sasa hao watu binafsi wanaoweza kumiliki ni raia wa nchi gani?!? Pia ulichokisema mbona kipo wazi! Dollars si currency ya TZ, hivyo lazima dollars zitoke nje! Is this all you got? And you call this "dollarization in another perspective"
Usichotaka kukubali kuelewa ni kwamba dollarization inatokana na forex kutoingia BoT bali kubaki mikononi mwa watu binafsi. Kama taasisi za serikali zitatoza in dollars, zitaenda BoT, ila watu binafsi wakitoza dollars, wanazihodhi na kukuza demand. Kwa hiyo mifano yenu ya serikali kutoza dollars (mfano oil rigs au mipakani/airports) is a weak/poor perspective of dollarization. Mfano mzuri ni sisi wenyewe kukubali kulipa mapango in dollars, ukilaumu serikali, usisahau kulaumu wananchi pia, kwa sababu we play a bigger role.

Hivi arifu unatambua unachokiandika lakini? Sasa kama ndivyo, nini maana ya kuwa na serikali??? Kwa hiyo kama ni kosa letu watanzania, kurekebisha ni mpaka pale watanzania watakapoamua kuingiza dollars benki kuu na kuacha kufanya malipo ya ndani kwa dollars?!!? Sasa kama ndivyo, kumbe tunapoteza pesa kufanya uchaguzi wa kuunda serikali kila baada ya miaka mitano, wakati waTZ wanaweza kujiongoza wenyewe na kufanya yale wanayoona yanafaa?!?!?
Don't ask what the government can do for me, but what can I do for my government- J F.Kennedy.

Doh! Aisee wewe arifu kumbe ni mweupe hivi?!?
Kwa hiyo hili ni kosa la nani? Nini maana ya kuwepo sheria? Mbona polisi wana usemi tia sheria bila shuruti?! Ina maana usipotii utapata shuruti. Sasa serikali inasubiri nini kuwapa shuruti wasiotii sheria? Kwa hiyo kama wanasiasa wa upinzani wanavunja sheria, basi uvunjifu wa sheria unakuwa legitimised ama?
Tofauti yangu na wewe ni kutegemea serikali. Mimi sitegemei serikali au mapolisi ila mapolisi na serikali wanitegemee mimi. Nikiulizwa if I don't mind nikilipia kwa dollars (I earn my income in $) I say hell no!
Kuhusu wanasiasa wa upinzani, nia yangu ni kukuelewesha kuwa nobody gives a fvck about you, especially the politicians. So, just do the right thing and stop crying like a lil nanihii.
Mh! Kazi ipo. Hivi umesoma kweli nilichokisema?!? Ebu karudie tena kusoma chifu.
Hata kama hukuelewa, sasa kusema kuwa hakuna shida kama wageni wakifanya malipo kwa taasisi za serikali ndani ya nchi, basi naona tunapotezeana muda kama ulivyosema hapa chini....
Nishakujibu na kukupa sababu, Sasa wewe pangua hoja hii kwa kutoa points na mifano.
Doh! Naona kweli tunapotezeana muda tu arifu...maana kama umeshindwa hata kutambua tofauti ya currency signs za British Pound (£) na Euro (€), hakika tunapotezeana muda. Toka lini UK wanatumia € kama currency yao?!?
Same concept, kwanini usitumie mfano wa Euros unatumia Pounds? Euros is widely use than pounds na bei ya apple products in Germany, France zimepanda hata makampuni ya US yanaanza kuona uchungu wa kupanda kwa $.
Euros ina-command a bigger market, kwanini utumie mfano wa pounds? That's why I used Euro as a good example.Wewe mwenyewe unajua deep in your brain that I know the difference.

I surrender....maana hapa hakuna mjadala, zaidi ya kupotezeana muda kama ulivyosema...
Kwa sababu huna points zinazo-hold water.
 
Stop charging in foreign currency-JK

By Correspondent

20th June 2015

JK-20June2015(3).jpg

President Jakaya Kikwete

President Jakaya Kikwete has warned school owners and other business entities operating in the country to immediately stop charging Tanzanians in foreign currency, taking them to task into adhering to the national monetary policy.

The President issued the warning on Wednesday night when talking to Tanzanian Diaspora in New Delhi in his first day of the four-day official visit in the Indian sub-continent at the invitation of his counterpart President Pranad Mukherjee.

The Diaspora had been moved by headlines in Tanzanian media that the local market was overwhelmed by foreign currency transactions including instances of dual pricing in some services involving apartment rentals, fee payments in English medium international schools, supermarkets and hotels.

But in the past six months following the drastic plunge of shilling caused by deficiency of dollar in the circulation, allegedly hoarded by a group of people stashing the currency abroad amid the violent October Elections phobia, American dollar has conspicuously come out of its closets to sell openly even among the small scale businesses.

He said a Tanzanian should not be forced into paying bills in foreign currency, but foreigners in designated areas.

Meanwhile, the members of Diaspora also wanted to know about the state of affairs in the recent Escrow Tegeta account corruption scandal that shook the nation, caused the political demise of some politicians and plunged the popular rating of Kikwete’s government into record low.

“We have empowered institutions such as the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) Public Procurement Regulatory Authority (PPRA), Controller and Accounts General (CAG) office and ensure that the reports issued are openly discussed in the Parliament”, said the President implying steps his government has taken in dealing with corruption.

However, he said the fight against corruption is a sophisticated and diversified phenomenon that it needs collective efforts that will include the government, the public and other stakeholders to overcome.

He said PCCB and other institutions have been given more mandate to deal with corruption related cases now compared to 2005, adding “their power has increased 10 folds” following the increase in corruption-related cases.

When he was taken to task over a number of accidents that have taken thousands of his compatriots victims of death in the past three years, President Kikwete simply answered that the road accidents were mostly due to laziness caused by drivers who systematically violate traffic rules that include taking alcohol and reckless driving.

SOURCE: THE GUARDIAN

CC: Tized, Mr Rocky, Fixed Point, lyinga, measkron, NATA, Chakaza, Elly B, Ablessed, Michelle, everlenk, KikulachoChako, Emma, EMT, Alinda, Daudi Mchambuzi, Arushaone, MziziMkavu, Ablessed, afrodenzi, Heaven on Earth, Power to the People, Jasusi, Eiyer, idawa, nguruvi, Mentor, Sikonge, Dingswayo, MANI, tpaul, Bramo, Bulesi Bulldog, Sangarara, MTAZAMO, Erythrocyte, Mag3, Mimibaba, zumbemkuu, Crashwise, amkawewe, Idimi, Ogah, Chakaza, mshana jr, JokaKuu, MWALLA, genekai, PRINCE CROWN, Tuko, Shark, lynxeffect22, samaki2011, MoudyBoka, adolay, Elli, nyabhingi, Janjaweed, S.N.Jilala, MEANDU, Tabby, Candid Scope, Honolulu, August, dyuteromaikota, BONGOLALA, Gefu, Bigirita, Kozo Okamoto, Shark, mirisho pm, Camp 05, Ngoami, Kamakabuzi, jerrytz, josam

Shida moja kubwa sana ya huyu jamaa ni mpigadomo mzuri sana lakini actionsni zero...akishaongea jukwaani akishuka ashasau kila kitu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Anakumbuka blanket wakat kumekucha. Maisha ya kuigiza Tz yamezidi kuliko reality
Rais Anaigiza, Mawaziri wanaigiza, Waigizaji wanaigiza ,Wananchi nao wanaigiza sasa . Mpaka watangaza nia ya Urais nao ni waigizaji!!! Nchi ya Maigizo hii.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sheria zipo, taasisi zipo ....
Magavana wanasema kila siku kuhusu matumizi ya dola leo siyo mara ya kwanza msitake kutudanganya hapa. Hiyo ni response kutokana na swali aliloulizwa, siyo kwamba aliamka asubuhi na kutamka hayo maneno. Kwa hiyo sioni cha kushangaa hapo, msitake kukuza issue, tafuteni sera.

Sera inasaidia nini kama Serikali yake hawawezi kuifuata,unatuambiaje swala la NHC,TFDA,TANROADS etc kucharge kwa $?
 
Hata usngetaka aseme kitu, ilibidi aseme kwa sababu aliulizwa swali Na unalijua hilo.
Hayo mambo ya Mnyika kumaliza unayajua wewe, siwezi kumuheshimu mbunge aliye-walk out na baadae kutumia nenO rais ku-refer the same person he walked-out against. I call that a coward.

Thats the problem kutokuelewa.
Oil rigs ni mfano mmojawapo wa transactions zinazolipiwa kwa dollars (vibali vyake) kisheria. If you don't know, now you know ... kwa hiyo hata jibu lako lipo kama mguu wa jini.

Usichotaka kukubali kuelewa ni kwamba dollarization inatokana na forex kutoingia BoT bali kubaki mikononi mwa watu binafsi. Kama taasisi za serikali zitatoza in dollars, zitaenda BoT, ila watu binafsi wakitoza dollars, wanazihodhi na kukuza demand. Kwa hiyo mifano yenu ya serikali kutoza dollars (mfano oil rigs au mipakani/airports) is a weak/poor perspective of dollarization. Mfano mzuri ni sisi wenyewe kukubali kulipa mapango in dollars, ukilaumu serikali, usisahau kulaumu wananchi pia, kwa sababu we play a bigger role.

Don't ask what the government can do for me, but what can I do for my government- J F.Kennedy.

Tofauti yangu na wewe ni kutegemea serikali. Mimi sitegemei serikali au mapolisi ila mapolisi na serikali wanitegemee mimi. Nikiulizwa if I don't mind nikilipia kwa dollars (I earn my income in $) I say hell no!
Kuhusu wanasiasa wa upinzani, nia yangu ni kukuelewesha kuwa nobody gives a fvck about you, especially the politicians. So, just do the right thing and stop crying like a lil nanihii.
Nishakujibu na kukupa sababu, Sasa wewe pangua hoja hii kwa kutoa points na mifano.
Same concept, kwanini usitumie mfano wa Euros unatumia Pounds? Euros is widely use than pounds na bei ya apple products in Germany, France zimepanda hata makampuni ya US yanaanza kuona uchungu wa kupanda kwa $.
Euros ina-command a bigger market, kwanini utumie mfano wa pounds? That's why I used Euro as a good example.Wewe mwenyewe unajua deep in your brain that I know the difference.

Kwa sababu huna points zinazo-hold water.

Pheeww..
 
Back
Top Bottom