josam
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 2,252
- 1,046
Ndg BAK,
Mnyika Alisha waambia watanzania, sema Midanganyika tuna sahau sana.
Director akiwa bata, katika jamii hiyo hiyo akawemo nyoka makengeza, unategemea uhai wa vifaranga? Pamoja na kwamba vifaranga vinakuwa havijitambui ingawa vinaona vikidonolewa na nyoka. Ni sawa na yale ya chui kuonyesha ana wapenda sana mbuzi na mbuzi kumkarimu kupindukia, hakika haya ni maajabu ya Wadanganyika! Vyuo vya utarii, weka vizuri mitaala yenu mwaweza kuvuna fedha nyingi kwani kuna maajabu mengi Tanzania inayoweza kuvutia watalii wengi nchini!