Jakaya Kikwete: Stop charging in foreign currency

Jakaya Kikwete: Stop charging in foreign currency


IMG-20150620-WA0017.jpg


Je hapa akamatwe nani?
Lugha ni yetu, hela ni ya Marekani!
Tour operators watallipa in dollars, kwa sbabu wanalipwa in dollars. Ukimgonga na bodaboda halali yako. Ila unaweza kupindisha maana ili iwe kipropaganda zaidi.

Matter of fact ni kuacha kutumia dollars kupunguza hoarding mitaani. Hata Billicanas ukichanja kadi ikiwa na $ wanakuuliza ili kujiepusha as if una option wakati kisheria huna option.
 
But People, company's, hotels, apartments, schools, have been chagrining and paid using Dollar currency since long time, but still our economy and currency was stable by all that time. They should come with a different reason not this. Our economy has gone really bad and they know the reason.
 
Kwa nini aongee huko nje.Atoe Presidential order sio kuongea tu wakati uchumi unaharibika huku tukitegemea kila kitu toka nje. Wafanya biashara wa Tz kwenda China hawaendi tena.Tutaona baada ya mwezi jinsi bei zitapanda. Ukitaka kununua gari ni aibu jinsi tumekuwa kama Zimbabwe. Nyoooo
Haihitaji presidential order maana kasema na sheria ipo. Kwa nini sheria haitekelezwi? Hata hivyo na cha kushangaza ni kuwa baadhi ya sheria zetu zinatoa adhabu kwa dola!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
But People, company's, hotels, apartments, schools, have been chagrining and paid using Dollar currency since long time, but still our economy and currency was stable by all that time. They should come with a different reason not this. Our economy has gone really bad and they know the reason.
That was a response to a question about legality of establishments charging in dollars. Not an answer to a recent drop in the value of TZS. Let's at least understand that simple part.
 
Stop charging in foreign currency-JK

By Correspondent

20th June 2015

JK-20June2015(3).jpg

President Jakaya Kikwete

President Jakaya Kikwete has warned school owners and other business entities operating in the country to immediately stop charging Tanzanians in foreign currency, taking them to task into adhering to the national monetary policy.

The President issued the warning on Wednesday night when talking to Tanzanian Diaspora in New Delhi in his first day of the four-day official visit in the Indian sub-continent at the invitation of his counterpart President Pranad Mukherjee.

The Diaspora had been moved by headlines in Tanzanian media that the local market was overwhelmed by foreign currency transactions including instances of dual pricing in some services involving apartment rentals, fee payments in English medium international schools, supermarkets and hotels.

But in the past six months following the drastic plunge of shilling caused by deficiency of dollar in the circulation, allegedly hoarded by a group of people stashing the currency abroad amid the violent October Elections phobia, American dollar has conspicuously come out of its closets to sell openly even among the small scale businesses.

He said a Tanzanian should not be forced into paying bills in foreign currency, but foreigners in designated areas.

Meanwhile, the members of Diaspora also wanted to know about the state of affairs in the recent Escrow Tegeta account corruption scandal that shook the nation, caused the political demise of some politicians and plunged the popular rating of Kikwete’s government into record low.

“We have empowered institutions such as the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) Public Procurement Regulatory Authority (PPRA), Controller and Accounts General (CAG) office and ensure that the reports issued are openly discussed in the Parliament”, said the President implying steps his government has taken in dealing with corruption.

However, he said the fight against corruption is a sophisticated and diversified phenomenon that it needs collective efforts that will include the government, the public and other stakeholders to overcome.

He said PCCB and other institutions have been given more mandate to deal with corruption related cases now compared to 2005, adding “their power has increased 10 folds” following the increase in corruption-related cases.


When he was taken to task over a number of accidents that have taken thousands of his compatriots victims of death in the past three years, President Kikwete simply answered that the road accidents were mostly due to laziness caused by drivers who systematically violate traffic rules that include taking alcohol and reckless driving.

SOURCE: THE GUARDIAN


CC: Tized, Mr Rocky, Fixed Point, lyinga, measkron, NATA, Chakaza, Elly B, Ablessed, Michelle, everlenk, KikulachoChako, Emma, EMT, Alinda, Daudi Mchambuzi, Arushaone, MziziMkavu, Ablessed, afrodenzi, Heaven on Earth, Power to the People, Jasusi, Eiyer, idawa, nguruvi, Mentor, Sikonge, Dingswayo, MANI, tpaul, Bramo, Bulesi Bulldog, Sangarara, MTAZAMO, Erythrocyte, Mag3, Mimibaba, zumbemkuu, Crashwise, amkawewe, Idimi, Ogah, Chakaza, mshana jr, JokaKuu, MWALLA, genekai, PRINCE CROWN, Tuko, Shark, lynxeffect22, samaki2011, MoudyBoka, adolay, Elli, nyabhingi, Janjaweed, S.N.Jilala, MEANDU, Tabby, Candid Scope, Honolulu, August, dyuteromaikota, BONGOLALA, Gefu, Bigirita, Kozo Okamoto, Shark, mirisho pm, Camp 05, Ngoami, Kamakabuzi, jerrytz, josam






CCM WANAPENDA NAMBA LAKINI HAWAJUI HESABU.!

Na Malisa GJ,

Leo tuongee uchumi kidogo.

Kuna watu wanapenda namba lakini hawajui hesabu. Kama na wewe ni mmoja wao tafadhali usisome makala hii.

Wabunge wengi na mawaziri wa chama cha mapinduzi ni wagonjwa wa namba. Wanapenda namba lakini hawajui hesabu. Ukitaka wakushangilie we ongeza tarakimu tu kwenye namba. Wanapenda namba lakini hawajui hesabu.!

Kama ulikua unamlipa mtumishi mshahara wa laki 5 mwaka jana mwaka huu mlipe laki 7. Atashangilia na kukushukuru. Kumbe hajui upande wa pili gharama za maisha zimeifanya hiyo laki 7 iwe sawa na laki moja ya mwaka jana. Yeye atakushukuru tu, kwa sababu anapenda namba lakini hajui hesabu.!

Naona wengi hamjanielewa. Ni hivi kuna faida gani kulipwa mshahara wa milioni mbili halafu ukauziwa sukari kilo moja sh.3000/=??? Si bora ulipwe laki 5 sukari uuziwe sh.500/= kwa kilo. Kama unapenda namba lakini hawajui hesabu huwezi kunielewa.

Twende kwenye historia kidogo. Mwaka 2005 wakati Rais Mkapa anaondoka madarakani bajeti ya serikali ilikua Trilioni 7. Mwaka huu ni Trilioni 22. Wanaopenda namba lakini hawajui hesabu wameshaanza kuhangilia eti "bajeti imekua".. huu ni ujinga wa kiwango cha Phd.!

Ukweli ni kwamba bajeti haijakua ila imezidi kuporomoka. Lets calculate together.

Ni hivi. Mwaka 2005 bajeti ilikua Trilioni 7 na thamani ya dola moja ilikuwa sawa na Sh.650. So ukichukua Trilioni 7 ukigawanya kwa Sh.650/= utapata 10,769,230, yani Dola milioni kumi na laki 7.

Mwaka huu bajeti ni Trilioni 22. Na thamani ya dola ni Sh.2250. Ukichukua Trilioni 22 ukigawanya kwa Sh.2250/= utapata 9,777,777 yani dola milioni 9 na laki 7.

Hii ina maana kuwa bajeti ya mwaka huu (dola milioni 9) ni ndogo kuliko bajeti ya mwaka 2005 (dola milioni 10).

Maana yake ni kwamba kwa miaka 10 yote tumepiga hatua 9 mbele tukarudi nyuma hatua 10. Wanaopenda namba lakini hawajui hesabu hawawezi kunielewa.!

Haiwezekani bajeti ya mwaka 2005 iwe kubwa zaidi kuliko bajeti ya mwaka huu wakati mwaka huu mahitaji mi makubwa zaidi kuliko ya 2005. Watumishi ni wengi zaidi, miradi ya maendeleo ni mingi zaidi na hata population ni kubwa zaidi. So tulitegemea bajeti ya mwaka huu iwe kubwa zaidi. Kubwa maradufu kuliko ya mwaka 2005. Lakini cha ajabu imekua ndogo kuliko ya 2005. Halafu wabunge wa CCM wanaopenda namba bila kujua hesabu wanashangilia eti bajeti imepanda.

Tafsiri hii ya bajeti ina maanisha kuwa kwa miaka 10 ya utawala wa Kikwete tumeshindwa kwenda mbele japo hatua moja. Badala yake tumerudi nyuma kwa hatua moja (10-9).

Kwa lugha rahisi ni kuwa maisha ya leo yamekuwa magumu zaidi (in one decimal place) kulinganisha na maisha ya miaka 10 iliyopita.

Yani mtumishi aliyekuwa analipwa mshahara wa laki 3 mwaka 2005 aliishi maisha mazuri kuliko mtumishi anayelipwa milioni moja leo.

Unajua kwanini? Mwaka 2005 sukari kilo moja ilikua Sh.500. Kwa hiyo kwa mshahara wa laki 3 ulikua una uwezo wa kununua kilo 600 za sukari kwa mwezi. Leo sukari kilo moja ni sh.2200/= kwa hiyo kwa mshahara wa milioni moja unaweza kununua kilo 454 tu za sukari. Hapa tunasema purchasing power ya shilingi imeporomoka mara dufu. Wanapenda namba lakini hawajui hesabu hawawezi kunielewa.!

Mwaka 2005 mfuko mmoja wa cement uliuzwa Sh.4500/= hadi 5000/=. Kwa maana hiyo mtumishi aliyelipwa mshahara wa laki 3 aliweza kununua mifuko 66 ya cement. Leo cement mfuko mmoja ni sh.20,000/= hadi 25,000/=. So mtumishi anayelipwa milioni moja ana uwezo wa kununua mifuko 40 tu ya cement.
Mfumuko wa bei kuanzia mwaka 2005 hadi sasa ni wa kiwango cha asilimia mia nne (400/%). Maana yake ni kwamba bidhaa zimepanda mara 4 ya bei yake just for ten years.

Nyama iliyokua inauzwa kilo moja sh.1000/= sasa hivi inauzwa 40000/= hadi 6000/=. Mchele uliokua ukiuzwa Sh.350/= kwa kilo moja saivi ni 1500/=. Nauli ya daladala iliyokua sh.100 saivi ni 400/=. Mafuta ya taa lita ilikua sh.350/= saivi ni karibia sh.2000/=

Kimsingi kila bidhaa imepanda bei mara 4 au zaidi ya bei yake ya mwaka 2005. Tafsiri yake ni kwamba mfumiko wa bei (inflation rate) ni ya kiwango cha zaidi ya 400% (Hyper Inflation)

Katika uchumi inflation yoyote inayoanzia tripple digit na kuendelea ni "Hyper Inflation". Yani ni mfumuko wa bei wa kiwango kibaya zaidi unaoweza kuathiri uchumi wa nchi kabisa.

Nchi inapaswa kuwa na mfumuko wa bei wa kawaida (moderate inflation) ambao ni single digit. Yani mfumuko ukiwa wa kuanzia asilimia moja (1%) hadi tisa (9%) hiyo ni moderate inflation na haina athari kubwa kiuchumi.

Lakini sisi tuna asalimia 400 za mfumuko wa bei. Hii ni hatari sana. Very soon tutawakaribia Zimbabwe au Somalia kuanza kutembea na hela kwenye matoroli. Hata wao walianza hivihivi.!

Thamani ya shilingi inaporomoka kila siku na watu wanashangilia. Huu ni uzwazwa wa kiwango cha Phd.

Jiulize embe lililokua likiuzwa sh.50 pale sokoni Buguruni leo linauzwa sh.500 hadi 1000. Mara 20 zaidi. So kwa mtindo huu ukitaka kujua bei ya embe miaka 10 ijayo chukua bei ya sasa (sh.1000/=) halafu zidisha mara 20. Utapata Sh.20,000/=.

Kwa hiyo tukipata Rais kama Kikwete miaka 10 ijayo tutanunua embe moja kwa sh.20,000/=.. walahi.! itabidi tuwe na noti ya shilingi laki moja.

Kama embe limepanda bei mara 20 tangu mwaka 2005 hadi 2015, tutegemee lipande tena mara 20 kuanzia 2015 hadi 2025. This means mwaka 2025 bei ya embe itakua elfu 20. Ukitaka kununua embe kumi unaenda na laki mbili. Sasa sijui wale wafanya biashara wa embe wanaonunua kwa fuso watalipa bei gani?

Bila shaka watalipa mabilioni kadhaa kwa fuso moja. Yani unaenda kwa mkulima na fuso lako limejaa hela (noti). Mkulima anapakua hela akimaliza anapakia maembe. Huko ndiko serikali ya CCM inakotaka kutufikisha.

Nisiongee sn maana napata tu hasira bure na huenda hata hamnielewi

Tafakari kwa kina
 
Last edited by a moderator:
Lets calculate together.

Ni hivi. Mwaka 2005 bajeti ilikua Trilioni 7 na thamani ya dola moja ilikuwa sawa na Sh.650. So ukichukua Trilioni 7 ukigawanya kwa Sh.650/= utapata 10,769,230, yani Dola milioni kumi na laki 7.

Mwaka huu bajeti ni Trilioni 22. Na thamani ya dola ni Sh.2250. Ukichukua Trilioni 22 ukigawanya kwa Sh.2250/= utapata 9,777,777 yani dola milioni 9 na laki 7.

Hii ina maana kuwa bajeti ya mwaka huu (dola milioni 9) ni ndogo kuliko bajeti ya mwaka 2005 (dola milioni 10).

Maana yake ni kwamba kwa miaka 10 yote tumepiga hatua 9 mbele tukarudi nyuma hatua 10. Wanaopenda namba lakini hawajui hesabu hawawezi kunielewa.!

Haiwezekani bajeti ya mwaka 2005 iwe kubwa zaidi kuliko bajeti ya mwaka huu wakati mwaka huu mahitaji mi makubwa zaidi kuliko ya 2005. Watumishi ni wengi zaidi, miradi ya maendeleo ni mingi zaidi na hata population ni kubwa zaidi. So tulitegemea bajeti ya mwaka huu iwe kubwa zaidi. Kubwa maradufu kuliko ya mwaka 2005. Lakini cha ajabu imekua ndogo kuliko ya 2005. Halafu wabunge wa CCM wanaopenda namba bila kujua hesabu wanashangilia eti bajeti imepanda.
Your numbers are all fucked up! Trilioni 22 sawa na dola mlioni 10?
Kwanini hujatumia Euros?
 
Namwomba Raisi aziambie taasisi za serikali ziache kucharge client wao kwa dola kabla ya kulazimisha private sector. Mimi nina ushahidi kabisa nalipa Pango kwenye taasisi moja ya serikali kwa dola.

Taasisi za umma kama tanapa, nhc, tra, waache unafiki watumie madafu kwanza kabla ya kuwabana private sector
 
Mkuu humfahamu President wako? Naomba nikukumbushe, akijitahidi zaidi ya hapo atakwambia, ' wanaofanya hivyo tunawajua, na majina yao tunayo...tunawaomba waache, vinginevyo tutawataja'.

this is the kind of president we have. hayuko serious kazi yake ni kuchekacheka tu anawaza disco, kwenye sakata la escrow aliita pesa za tshs pesa gani hizi za madafu ukikidharau chako itakuwaje haya ndo matokeo. TFDA chombo cha serikali wanacharge kwa dollars TanRoad wanacharge kwa dollars majumba na mashule mengi ya English medium ni ya haohao yanacharge kwa dollars
si jawahi ona Rais dhahifu kama kikwete hata kuwawajibisha mawaziri aliowateua yeye mwenyewe hawezi mpaka apate shinikizo toka bungeni shame to you my president
bunge lililopita aliomba doller za kuzunguka kuaga marais wengine na ndio anafanya sasa yuko katika ziara za kuaga katika kipindi cha mwezi mmoja alikuwa USA akaenda south Africa na sas a India roller lazima itashoot up
 
Linchi la kijinga kweli hili.

Umeona wapi eti hata kodi za pango la nyumba sehemu kama Sinza au Kurasini zinalipwa kwa dola?

Nchi ikiwa imejaa watu wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida kupata maendeleo ni ndoto!

Nchi ilishamshinda tangu zamani anaachia ngazi sasa anatapatapa tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Stop Charging??? Ina maana walikuwa wanaruhusu sasa ndo wanatoa hiyo order otherwise ningetegemea wanaocharge hivo kuchukuliwa hatua
 
Jamaa anashangaza sana aisee, miaka 10 kauchuna kimya huku Watanzania tukipiga kelele za kutosha hili la Watanzania kulipa kwa dollar katika mambo mbali mbali nchini. Nakumbuka hapa kulikuwa na mjadala mzito kuhusu issue hii na magazeti mengi nchini yaliandika kwa kina, lakini akaendelea kuuchuna tu. Kabakisha miezi mitatu ndiyo anatoa kauli kama hii tena baada ya kuulizwa swali akiwa India. Hakustahili kabisa huyu kuwa kiongozi wa nchi yetu kaiacha katika hali mbaya sana kuliko alivyoikuta. Bado anaendelea na safri yake ya kuaga nchi za nje, pamoja kujua nchi haina pesa na safri zake zinaongeza deni la Taifa wala hajali anatanua tu.

Huko ni lazima angetembelea kipindi hiki Mkuu. Kumbuka EPA nk. utajiridhisha ni kwanini. Na subiri nyingine maana huko ndiko utaalamuni.
 
Angalia KITUO nilichojiandikisha kila siku wanakuja watu zaidi ya 500 lakini karan anauwezo Wa kuandika watu 120 -150 kwa siku Leo ndo mwisho wakasema wataongeza siku 2, ukiangalia kwa makin hakuna kiongoz hata mmoja Wa serkali au ccm anayejishughulisha Na hilo jambo.Kwahesabu yYangu ya haraka KITUO kitaandika wapiga kura kama 1800 badala ya 7000. Natayari kunasehemu nyingine watu wanalalamika kuwa wameachwa lakini wahusika wameziba masikio.Baada ya muda Wa kuandika kuisha yaani ilipofikasSAA 12 jioni waliwambia waliobakikkuwa tutarudi kesho lakini kesho yake hawakuonekana. Hiv kweli jamaa wana nia ya dhat ya kufanya uchaguzi
Suala la uandikishaji lipo chini ya tume ya uchaguzi viongozi wa ccm wakafanye nini tena.
 
Hakuna alichoweza huyu DHAIFU pamoja na utitiri wa ahadi zake hakuna hata moja aliyoitimiza. Anaiacha nchi ikiwa katika hali mbaya sana kuliko alivyoichukua. Kila sekta muhimu nchini iko shakala baghala.

Mkuu he has issue an order but believe me nothing will change.
 
Huko ni lazima angetembelea kipindi hiki Mkuu. Kumbuka EPA nk. utajiridhisha ni kwanini. Na subiri nyingine maana huko ndiko utaalamuni.
Kwahiyo unataka kusema kuwa mwaka huu uchaguzi hautafanyika kutokana na unachodai wewe.
 
Hakuna alichoweza huyu DHAIFU pamoja na utitiri wa ahadi zake hakuna hata moja aliyoitimiza. Anaiacha nchi ikiwa katika hali mbaya sana kuliko alivyoichukua. Kila sekta muhimu nchini iko shakala baghala.
We kikapu kweli mbona katimiza mengi sana au unataka utimiziwe za zile za mwili wako?
 
Your numbers are all fucked up! Trilioni 22 sawa na dola mlioni 10?
Kwanini hujatumia Euros?

kama nimekuelewa kimsingi umekubaliana na hayo mahesabu ila matizo lako ni kwa nini imetumika dollar
imetumika dollar kwa sababu ni pesa inayotumika world wide
pili asilimia kubwa ya watanzania wanafahamu exchange rate ya dollar kuliko pesa nyingine yeyote ya nje
Tatu hata Rais wako analalamika kuwa dollar ni pesa pekee ya nje inayotumika zaidi ktk solo la ndani
 
Huyi mchumi fake.. hata mtoto mdogo kwa sasa anafahamu kushuka kwa shilingi ni failure ya macro ana micro economy... m/kw/ere ni shida tupuuu. Yeye ndio tatizo, aishie zake mzee,
 
Back
Top Bottom