Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,633
- 1,735
Sukuma gang naona unatafuta uungwaji mkono!Bavicha kila kitu kwenu kibaya.
Kila mtu kwenu mbaya ila awe na akili za kushikiwa kama zenu.
Mnajiona wajuaji na watakatifu sana. Wakati lichama lenu limeshajifia lenyewe. Badala ya kukifufua mmebaki kutetea mapenzi ya jinsia moja(Fatma Karume) mkidhani mnajiimarisha kumbe ndio mnajizika