Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

mkuu wote ni wale wale, mwendazake alikua katili, roho mbaya na nk... bt jakaya anakuchekea ila anauza raslimali za nchi na kuwatetea mafisadi live
Rostam plus GSM walikuwa karibu ma mwendazake na wame enjoy miaka ya utawala wa mwendazake. Niambie nami hapo ameteseka zaidi tu wameneemeka zaidi. Mwendazake anauza Madini yakiweml Tanzanite kwa rafiki yake Tall hapo jirani hadi kufikia kuleta wanajeshi wake kulinda mererani. 1.5 T mwaka wake wa kwanza tu, akaoma amfukuze CAG. Huyu alikuwa ni laana kwa nchi
 
Hata angekuwa bondeni kwa Mandela, angepata kashi kashi sana kwa hujuma aliyoifanyia nchi hii!! Enzi ya Magufuli HOME SHOPPING CENTRE [ GSM] uliwasikia? Huoni ajabu leo wameanza jeuri yao?
nyie wasukuma ni watu wa ajabu sana, gsm amefanya matusi na jeuri kubwa kipindi cha mwendazake, yanga ameichukua kipindi cha mwendazake..., huyo mwendzake alikuwa rais mwizi kuliko marais wote waliowah kutokea nchi hii japokuwa kakaaa muda mchache kuliko wenzie
 
Hakuna huwezi kufurahia aliyoyafanya kama sio kundi lile. Sio ukatili tu, maana hata Kagame katili lakini huyu alikuwa Katilo, kuongoza hawezi, diplomasia hawezi, uchumi hawezi hakuna alichoweza na hata hakuna alichofanikiwa kwa miaka yake 6, nikukuuliza hapa niambia amefanikiwa nini miaka 6 hakuna, wala mradi aliofanikiwa hakuna.6 years tunaimba tu Reli, Nyerere dam n.k
nionyeshe nilipofurahia utawala wa dictator magufuli
 
Chuma alikuwa mwizi tu na ufisadi ulikwua mkubwa kuliko awamu zote, alichofanikiwa ni kutisha na kuua watu wasisema pamoja kuminya vyombo vya habari.
Bora yeye wizi wake ni mzur, tulipa huduma Bora maji, Mama zetu walikuwa Wana lala chini ma hospitalin aka nunua Vitanda na vifaa vya hospital sasa hivi ukienda hospital huwambiwi tena hakuna vipimo nenda private kachukue vipimo, umeme ulikuwa haukatiki, mpaka sasa tunge kuwa tuna panda tren ya umeme barabara za lami, shule kongwe za serikal zime kalabatiwa zote, kuliko wizi wa kikwete kutenga billion 9 kila mwaka kutengeneza ikulu, magufur yeye hakufanya ukatili uo wa kutenga billion 9 wakati mama zetu na Dada zetu Wana jifungulia chin ya sakafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MaCCM yote ni minafiki mno, hili jitu hili nafikii namba moja. Silipendi kabisa kabisa
2991488_images_7.jpeg
 
... tena Brigedia Nnauye aliongoza tume ya ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika; enzi hizo ukombozi umeshika kasi. Mwanafunzi mwaminifu wa Mwalimu.
Wewe ni muongo.
Brig. H. Mbita ndiye aliyeongoza Tume ya Ukombozi.
Nakumbuka kuwa nakutana naye pale Hugo House - Kinondoni.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
JWTZ wamepita/wana majenerali wengi.....wote wakumbukwe kwa kipi?!!!!

Ukiona El Comandante Moses Nnauye anawakusanya watu katika kumbukizi ujue kuna ALAMA nzito ameziachia taifa hili......


HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE MOSES NNAUYE

#Siempre JMT
Aiseeee!!!!!
Wewe waweza kuwa ndiye bingwa wa walamba viatu wote humu jukwaani.
Dada,jitahidi sana umuombe Mungu akusaidie usizae watoto watakaorithi huu ujuha wao wa kupenda kubebwa bebwa kwa kulamba viatu.
Fanyia kazi vyema ubongo aliokupa Mwenyezi Mungu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukijumlisha kashfa zote za ufisadi kuanzia kipindi cha Mkapa, Richmond, Kagoda, ununuzi wa Rada, Meremeta n.k
Hazifiki 1.5 Trilion alizoiba Mwendazake, tena mwaka wake wa kwanza tu wa Bajeti. Bado mikopo mingi aliyokopa kuwazido miaka 30 ya marais wa tatu yeye kwa miaka mitano tu, huku pesa hazijulikani zingine zilikoemda matumizi yake. Si ajabu alitumia triliona kujenga uwanja wake wa ndege huko kijijiji. Bila kusahau CAG alikatwa kukagua madini, yani huko hakuna ukaguzi nini kinaingia na kutoka. He was the worst
Bora ana iba na kaz ana fanya tena magufur mzembe alitakiwa atuibie Zaid ili na wanyonge mambo yetu ya ende vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... tena Brigedia Nnauye aliongoza tume ya ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika; enzi hizo ukombozi umeshika kasi. Mwanafunzi mwaminifu wa Mwalimu.
Mkuu:
Usichanganye madesa, hapa kuna Brigadier Hashim Mbita na Brigadier Mosses Mnauye.
 
Ukijumlisha kashfa zote za ufisadi kuanzia kipindi cha Mkapa, Richmond, Kagoda, ununuzi wa Rada, Meremeta n.k
Hazifiki 1.5 Trilion alizoiba Mwendazake, tena mwaka wake wa kwanza tu wa Bajeti. Bado mikopo mingi aliyokopa kuwazido miaka 30 ya marais wa tatu yeye kwa miaka mitano tu, huku pesa hazijulikani zingine zilikoemda matumizi yake. Si ajabu alitumia triliona kujenga uwanja wake wa ndege huko kijijiji. Bila kusahau CAG alikatwa kukagua madini, yani huko hakuna ukaguzi nini kinaingia na kutoka. He was the worst
Unaambiwa hugo ndio mzalendo
 
leteni ushahidi hapa nn alichofanya kwene home shopping center zisije zikawa story za vijiwe vya kahawa.... Enzi za magufuli mbona GSM walisikika au kusikika kwa namna gani?
Moja ya kosa kubwa alilofanya ni kuimarisha uhuru wa habari zisizo rasmi zichakatwe na kuonekana kuwa ni rasmi.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom