Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

Bavicha kila kitu kwenu kibaya.

Kila mtu kwenu mbaya ila awe na akili za kushikiwa kama zenu.

Mnajiona wajuaji na watakatifu sana. Wakati lichama lenu limeshajifia lenyewe. Badala ya kukifufua mmebaki kutetea mapenzi ya jinsia moja(Fatma Karume) mkidhani mnajiimarisha kumbe ndio mnajizika
Sukuma gang naona unatafuta uungwaji mkono!
 
Hata angekuwa bondeni kwa Mandela, angepata kashi kashi sana kwa hujuma aliyoifanyia nchi hii!! Enzi ya Magufuli HOME SHOPPING CENTRE [ GSM] uliwasikia? Huoni ajabu leo wameanza jeuri yao?
Hakuna inchi bila matajiri jombaa
 
Kuna ujumbe unatumwa na wenye CCM yao kwa wale waliojiunga nayo baadaye sana .

Maneno mazito aliyotoa Mzee Makamba juu ya siasa mfano huko Marekani kutofautiana maono baina ya Edwin Staton na Rais Abraham Lincoln, lakini rais huyo wa Marekani akasema najua Edwin Staton hanikubali lakini sina wasiwasi naye kuwa Edwin Staton anaipenda sana nchi ya Marekani na ni mzalendo hivyo pamoja na tofauti zetu ninamteua kuwa waziri wa Mambo ya Ulinzi wa Marekani. Maneno hayo ana 'share' Mzee Yusuf Makamba katika siku ya Kumbukumbu ya Brigedia Moses Nnyau ambaye pia hakukubali tofauti za mitizamo zijenge uadui ....

Yusuf Makamba -"Anayekuchokoza Usichokozeke, anakushinda hivyo mfanye awe rafiki yako "




A History Of Rivals In The White House
Stanton was in some ways a curious choice for his job. Neither a Republican nor a Lincoln supporter before the war, he was notably unimpressed with the new president on first meeting.8 Aug 2017
View attachment 2034293
2017/08/08

Stanton: Lincoln's War Secretary - NPR



Ndiyo maana Marekani inapaa kimaendeleo sababu ya kupenda taifa lao kuliko kitu chochote
 
Hakuna inchi bila matajiri jombaa

Musk ,Gates, Bezos, Warren Buffet ni matajiri wa kutupa, wamemuibia nani? Lakini huyo HOME SHOPPING CENTRE[ GSM] na mbia wao waretuibia sana kwa kuingiza Mali bandarini miaka yote kumi ya utawala wake bila kulipa kodi!! Ushahidi wananchi wanao, muda wake ukifika kama ilivyokuwa kwa wakina Gupta na Zuma utatolewa na hapo ndipo mtakapojua kuwa waTANZNIA sio makapuku kama mnavyowadhania!!
 
Musk ,Gates, Bezos, Warren Buffet ni matajiri wa kutupa, wamemuibia nani? Lakini huyo HOME SHOPPING CENTRE[ GSM] na mbia wao waretuibia sana kwa kuingiza Mali bandarini miaka yote kumi ya utawala wake bila kulipa kodi!! Ushahidi wananchi wanao, muda wake ukifika kama ilivyokuwa kwa wakina Gupta na Zuma utatolewa na hapo ndipo mtakapojua kuwa waTANZNIA sio makapuku kama mnavyowadhania!!
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom