Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Salim alishindwa kwa vile hawezi ongea Kifaransa kwa ufasaha. JK??????
Kikwete anaweza kabisa kushika hiyo nafasi.Ni viongozi wa Afrika tu kupendekeza hilo jina lake.Na akipendekezwa atashinda kwa kura nyingi mno kuliko kiongozi yeyote aliyewahi kugombea nafasi hiyo.Sababu hatakuwa na shida kuungwa mkono na mabara mengine ya Asia,Ulaya na Marekani kwani huko kote viongozi wake wanamkubali vizuri mno