Madenge Origino
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,847
- 1,096
Mwambie Safari njema. Hivi ile club ya wajanja wa mjini ....Saigon bado ipo?
Mkwere kwa anavyopenda kusafiri nje basi anaweza hata kuiuza Tanzania ili aipate hio nafasi!
Mwambie Safari njema. Hivi ile club ya wajanja wa mjini ....Saigon bado ipo?
unajua moon akimaliza muda wake ni zamu ya bara gan au unaropoka?
Yote yanawezekana na kwa kuwa ni jambo jema sisi tunaomba MUNGU alipe uzito wa aina yake
Achana Nalo Hilo Halijielewi.Ban Alimrithi Anan Toka Afrika,kwa Maana Nyingine Hiki Cheo Kurudi Afrika Ni Labda 2045,sijui Huyo Kichwa Nazi Wa Msoga Atakuwa Na Umri Gani!!
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana!!
Kikwete anaweza kabisa kushika hiyo nafasi.Ni viongozi wa Afrika tu kupendekeza hilo jina lake.Na akipendekezwa atashinda kwa kura nyingi mno kuliko kiongozi yeyote aliyewahi kugombea nafasi hiyo.Sababu hatakuwa na shida kuungwa mkono na mabara mengine ya Asia,Ulaya na Marekani kwani huko kote viongozi wake wanamkubali vizuri mno
Naona Mmemsahau Butros Butros Ghali huyo alikuwa anatokea Africa pia Egypt na haikupita hiyo Miaka 45 akaja Koffi Anan

Kutokana na sifa nzuri ya JK kimataifa zipo tetesi anaweza kumrithi katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana Ban Ki-Mooon muda wake ukiisha. JK ni kiongozi pekee kutoka nchi za dunia ya tatu mwenye mahusiano mazuri, ni rafiki mzuri wa china, marekani, ujeruman uingereza na ufaransa ambao ni watu wenye ushawishi mkubwa katika baraza la umoja wa kimataifa.
Wakati wa utawala wake viongozi wakuu wa Marekani walitumia muda wa kutosha kupumzika Tanzania ikiwemo Rais George Bush kukaa zaidi ya siku tatu Tanzania jambo ambalo halijawahi kutokea. Pia wakati wa mkutano wa kibiashara wa dunia marais watatu wa marekani walikutana Tanzania kwa mpigo jambo ambalo si la kawaida.
Katika mkutano wa china na afrika JK alionekana akitaniana na rais wa China kana kwamba anaongea na swahiba wake wa karibu huku akiwatambulisha watu mbalimbali kwa mkuu huyo wa uchina.
Kwa kuchaguliwa kuwa waziri wa mambo ya nje balozi Augustine Mahiga ambaye ni rafiki wa karibu wa Ban ni dhahiri Mahiga atalichomeka jina la JK kwa Ban Ki-Moon watakapokutana katika masuala ya kimataifa.

..endelezea kwamba wanamkubali mno kwa sababu "kawauzia nchi ya Tanzania na raslimali zake (kasoro watu, labda), kila mmoja kwa wakati wake bila mwenzake kujua!Kikwete anaweza kabisa kushika hiyo nafasi.Ni viongozi wa Afrika tu kupendekeza hilo jina lake.Na akipendekezwa atashinda kwa kura nyingi mno kuliko kiongozi yeyote aliyewahi kugombea nafasi hiyo.Sababu hatakuwa na shida kuungwa mkono na mabara mengine ya Asia,Ulaya na Marekani kwani huko kote viongozi wake wanamkubali vizuri mno