Jakaya Kikwete ashiriki mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Leo Mei 27, 2021. Humphey Polepole naye afanikiwa kuhitimu

Mimi huwa sioni sababu ya Mtu kupaniki eti kisa amezushiwa kifo...haina maana yoyote kwa sababu mwisho wa siku kifo kipo palepale na hata anayemzushia Mwenzake nae hakitamuacha.
 
Ukweli mchungu, Kuanzia kigogo na wote mnaoendekeza sjui sukuma gang, sijui mataga, ndio chanzo kikubwa na mwendelezo wa ukanda, ukabila n.k

Haya mambo ya kusema vibaya kabila Fulani, safari ya kama Taifa moja, itatugharimu

Awamu ya 5 ndiyo chanzo cha yote hayo...Ndiyo effect yake hiyo.
 
Acha matusi ya reja reja.
JK ndiye hazina pekee iliyo baki ktk Taifa la Tanzania na hata Afrika Mashariki na kati.

ni tegemeo kwa ukanda wote wa maziwa makuu n.k.
kwa kifupi ndio nguzu ya katikati iliyo shika paa la nyumba.

Tunaomba uongozi wa Mama Samia umlinde na umtunze kwa umakini mkubwa.lkn zaidi tuna muombea Mungu amlinde.
 
Sukuma gang watanuna.
E2VbR5lWEAooe-r.jpeg
 
Back
Top Bottom