Jakaya Kikwete ashiriki mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Leo Mei 27, 2021. Humphey Polepole naye afanikiwa kuhitimu

Rais Mstaafu Comrade Jakaya Kikwete na Mkuu wa Chuo Kikuu cha UDSM leo Alhamisi tarehe 27 Mei 2021 akiwa chuoni UDSM kwa ajili ya kutunuku digrii kwenye duru ya kwanza ya Mahafali ya 51 ya UDSM.

Mnaomuombea Kikwete afe, ataishi miaka mingi kama Mwinyi kwa sababu hana roho mbaya

View attachment 1799261
Na alivyo na Roho nzuri, atahudhuria misiba yao.
 
Naona amejibu mapigo instantly.
Mataga walimzushia bila aibu
Screenshot_20210527-111209.png
 
Kesho yake akaenda Kurasini kuzindua hostel (Japokuwa kuna kitu alikivaa mkono wake wa kushoto ndani ya suti, na alikuwa anakigusa mara kwa mara), the same day akamteua Bashiru kuwa KMK na balozi, next day akamwapisha Bashiru Ikulu (Hakuongea lolote baada ya uapisho, kwa madai anawahi mkutano wa online na viongozi wa EAC), akaonekana jioni yake kwenye page za Msigwa anazugazuga kwenye meza kwenye mkutano (Ikaja kugundulika hakushiriki ule mkutano (according to official pages za EAC), Mama Samia alimwakilisha), baada ya ile video hakuonekana tena hadharani hadi alipokuja kuonekana Taifa akiwa ndani ya jeneza!! Haya maisha bwana!! Ni kujilisha upepo tu sometimes

Si walimwekea vitu kusaidia moyo wake
 
Mungu ampe maisha marefu yaliyojaa kheri
Vipi mzee wangu unakumbuka Nini kwa utawala wa huyu mwamba!!

Root, Mara marekani mwezi mzima Mara ooh Australia week 3 mnapiga Kona Adsababa Mara hamjakaa sawa mwanza kufikia ni Malaika beacha Mara watu hao wanakula Kona kulala Victory palace daah, Kama hukujenga kipindi chake Basi tena kaendelee kuloga tu
 
Back
Top Bottom