Jaji Warioba: Simuoni kiongozi mpinga ufisadi

Ukisikia kauli tata ndizo hizo,
Ina maana hata yeye mwenyewe hajikubali kua ni mpinga ufisadi?
Au anazungumzia kwa walioko madarakani sasa?
Anway, ngoja nikanunue hilo gazeti nimsome kwa undani zaidi!!
 
Kwa upande wangu naona atakuwa sahihi kabisa, hakuna aliyekua serious ktk kukabiliana na hili naona huu ufisadi umeanzia kwa rais mwenyewe ndo maa unakuwa mgumu kukabiliana nao
 
Back
Top Bottom