Jaji Warioba Kujiuzulu?

Status
Not open for further replies.

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
496
Reaction score
379
Taarifa zilizonifikia muda huu ni kuwa mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph WARIOBA, amewaita tena waandishi wa habari hapa makao makuu ya Tume kwa ajili ya Press conference, lakini fununu au tetesi zilizozagaa hapa jijini dar. ni kuwa anataka kumwaga manyanga. Tusubiri tusikie. tutawajulisha kila litakaloendelea.

===============
Update
===============

 
Pole mzee wangu bora maana CCM kupitia Bulembo wamekusema vibaya
 
Na iwe hivyo hivyo, maana tumechoka, na ajiuzuru tu!!
 
Hakieleweki, bora mzee ajipumzikie zake maana mnampa kazi ya kitaalamu anafanya mnataka kuleta njaa za kisiasa.
 
Hiyo press coneference inafanyika saa ngapi?
 
Kwa jinsi alivyopuuzwa,na kudharauliwa,alikijiuzulu atakuwa ameitendea haki taaluma yake na kuwatendea haki wanasheria wote na Watanzania kwa ujumla
 
Kwa jinsi alivyopuuzwa,na kudharauliwa,alikijiuzulu atakuwa ameitendea haki taaluma yake na kuwatendea haki wanasheria wote na Watanzania kwa ujumla
Nani kampuuza na kumdharau? Vinginevyo atakuwa amejidharau mwenyewe
 
Pole mzee wangu bora maana CCM kupitia Bulembo wamekusema vibaya
Dah, kama kusemwa na Bulembo tu anajiudhuru, ina maana haikuwa na maana basi kuteuliwa kwake kuwa mwenyekiti. Atakuwa amejidhalilisha na amedhalilisha taaluma ya uanasheria
 
naomba isiwe hivyo, itakuwa hatari kwa usalama na mshikamano wetu - tutagawanyika mno kwenye hii katiba, Ikulu impe backing!!
 
Huu ni zaidi ya uongo hili siyo jukwaa la utani wakuu.
 
Huyu mzee naye inampasa awe na ngozi ngumu kidogo. Yaani kuambiwa na Bulembo kuwa ana sura kama ngiri ndiyo imekuwa nongwa? Mbona JK kila siku tunamsema ana matege lakini wala hana hata mpango wa kumwachia Bilal ofisi. We Warioba embu tulia bwana. Acha utoto huo. Yaani unasusia shamba nguruwe?
 
Bulembo kakosea sana.
Kwani Bulembo ni nani kwenye Tume ya Katiba? Au kuna kipengele kwenye mchakato wa katiba kinachosema kuwa Bulembo akisema tu basi mwenyekiti wa tume anapaswa kujiudhulu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…