Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

kilaza kweli tena kiongozi na mshauri wa mburula Bulembo

Mkuu niliachaga kumjibu huyu baba mtu mzima baada ya kugundua kuwa ana miaka zaidi ya 50 afu akili yake ndio ndogo hivyo.... Zamani kabla sijajua umri wake ilikuwa nikiona post zake humu namuhisi labda yuko kwenye 18-24!!... Kumbe ni mbabu afu kichwani hamna kitu daaaah! Hii ccm hii itajatuwekea mpaka vichaa watuongoze!
 
Hahaaaa, kaka hili jamaa sidhani hata kama lilipata Div zero, hili inaonekana halikumaliza shule kabisaaa!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

- Eti ninahitaji Divison one kujua kwamba Wariona hana mamlaka yoyote na katiba mpya zaidi tu ya kukusanya maoni tu! ha1 ha!

Le Mutuz
 
- Hayo ndio maneno yenu mnayodanganyana huko Chadema na CUF, Sheria inasema walio wengi bungeni ndio wenye uamuzi wa mwisho wa Sheria sio wachache, wala muungano wa Waliberali na Chadema, ha! ha! ha!

Le Mutuz
Kw hyo nyie ni wengi kuliko maelfu ya watanzania ambao kwenye rasimu wametaka serikali tatu?
 
- Ameshindwa Slaa urais, ameshindwa Mbowe urais, imahindwa Chadema kushika bunge, Bulembo ameshinda ni Mwenyekiti wa Jumuiya so relax na huna hoja!!

Le Mutuz

vipi karolite ya mama mdogo? Ana Kilango Malecela umeanza kutumia nini, naona ubongo wako mweupe peee?
 
Mkuu niliachaga kumjibu huyu baba mtu mzima baada ya kugundua kuwa ana miaka zaidi ya 50 afu akili yake ndio ndogo hivyo.... Zamani kabla sijajua umri wake ilikuwa nikiona post zake humu namuhisi labda yuko kwenye 18-24!!... Kumbe ni mbabu afu kichwani hamna kitu daaaah! Hii ccm hii itajatuwekea mpaka vichaa watuongoze!

- u know what mimi bado namsikiliza Babu yenu mwenye miaka 75, anatafuta mchumba mahakamani, na huku anataka urais! ha! ha1 ha1

Le Mutuz
 
- Sheria inasema CCM ndio yenye uamuzi wa mwisho juu ya marekebisho ya katiba mpya sio Warioba wala Chadema au muungano wa Chadema na Waliberali CUF, ha! ha!

Le Mutuz

We unaumwa... Kama CCM imekupa vijisenti vya kuzunguka nchini kuchakachua mchakato wa rasimu, napenda kukuambia kuwa mnapiga upepo rangi. Warioba hatajiuzulu, maoni ya CCM hayatazingatiwa, na katiba itakayowakilisha maoni ya Watanzania itaandikwa, whether you like or not.... dadadeki.. Kama hamtaki mkajinyonge. Zile zama za chama kushika hatamu zilishaisha. Sasa ni nguvu ya umma inashika hatamu.

By the way, si wewe umekuwa ukilialia hapa kuwa CCM mlipoteza majimbo kwa sababu mlichakachua kura zenu za maoni?... sasa nikuambie kuwa sasa CCM mtapoteza nchi nzima kwa kujaribu kuchakachua maoni ya wananchi juu ya katiba wanayotaka...
 
Kw hyo nyie ni wengi kuliko maelfu ya watanzania ambao kwenye rasimu wametaka serikali tatu?

- CCM tuna wabunge wengi kuliko wenu, CCM tuna 280 Chadema mna 46 tu, so Sheria ipo wazi uamuzi ni wetu CCM sio wenu wala Warioba.

Le Mutuz
 
We unaumwa... Kama CCM imekupa vijisenti vya kuzunguka nchini kuchakachua mchakato wa rasimu, napenda kukuambia kuwa mnapiga upepo rangi. Warioba hatajiuzulu, maoni ya CCM hayatazingatiwa, na katiba itakayowakilisha maoni ya Watanzania itaandikwa, whether you like or not.... dadadeki.. Kama hamtaki mkajinyonge. Zile zama za chama kushika hatamu zilishaisha. Sasa ni nguvu ya umma inashika hatamu.

By the way, si wewe umekuwa ukilialia hapa kuwa CCM mlipoteza majimbo kwa sababu mlichakachua kura zenu za maoni?... sasa nikuambie kuwa sasa CCM mtapoteza nchi nzima kwa kujaribu kuchakachua maoni ya wananchi juu ya katiba wanayotaka...

- Maneno yangu na yako ynajisema nani anaumwa maana unawezaje kushindana na chama chenye Wabunge 280 na wewe una 46 tu? ndio kuumwa kwenyewe huko!!

Le Mutuz
 
Mkuu niliachaga kumjibu huyu baba mtu mzima baada ya kugundua kuwa ana miaka zaidi ya 50 afu akili yake ndio ndogo hivyo.... Zamani kabla sijajua umri wake ilikuwa nikiona post zake humu namuhisi labda yuko kwenye 18-24!!... Kumbe ni mbabu afu kichwani hamna kitu daaaah! Hii ccm hii itajatuwekea mpaka vichaa watuongoze!

kwa heshima yako sweetlady, ngoja nimwache kwa leo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu taratibu usitupotoshe kwa sasa wanachambua maoni siyo kukusanya maoni kuwa mwangalifu sana uongo siyo mzuri mkuu.

Kuchambua maoni ina maana gani? Kwa hiyo kwa mfano maoni ya mwanzo yalivyoonyesha majority wanataka serikali tatu, sasa CCM ndio "imeyachambua" na kugundua kuwa wengi wanataka serikali mbili?...
 
vipi karolite ya mama mdogo? Ana Kilango Malecela umeanza kutumia nini, naona ubongo wako mweupe peee?

- Ni kweli ubongo wangu ni mweupe ndio maana najua kwamba CCM yenye wabunge 280 ndio inayokubaliwa na wananchi wengi kuliko chama kilichoungana na Waliberali chenye wabunge 46, Ubongo wangu ni mweupe ndio maana najua kwamba CCM ndio wenye madaraka kisheria ya kuamua Katiba mpya sio Warioba wala Chadema.

Le Mutuz
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Nafikiri you have missed the point. Warioba alikuwa haongelei Rasmu ya mabadiliko ya Katiba Bali Rasmu ya Katiba! Pia nafikiri Warioba Ana haki ya kuzungumzia maoni ya watanzania kwa sababu yeye na tume yake ndiyo waliyakusanya na kuyaweka kwenye Rasmu. Haya mengine yanayotoka sasa ni mawazo ya wanasiasa wachache wanaotaka kuyalazimisha yawe ya watanzania wengi!
 
- u know what mimi bado namsikiliza Babu yenu mwenye miaka 75, anatafuta mchumba mahakamani, na huku anataka urais! ha! ha1 ha1

Le Mutuz

Huezi amini wewe ni mkubwa kiumri kuliko mama yangu aliyenizaa, kinachonishangaza ni iweje uwe mtupu hivyo kichwani? Yaani huwa nakushangaa sana baba yangu.... Umri mkubwaaaaaa, kichwani mtupuuuuuuuuu!!! Nashangaa na bado ntazidi kushangaaa
 
We kubwa jinga mbona unalazimisha mambo? Nimashakueleza in one of my comments above kuwa rasimu ya katiba sio mswada wa sheria, hivyo haikupelekwa bungeni! Wala bunde la JMT halitoigusa rasimu ya katiba in any way! Bunge la katiba ndo litafanya hivyo. Mswada unaopigiwa kelele kwa sasa ni ule wa kuratibu the whole process ya kupata katiba mpya, na hata bado haujakamilika wote. Kumbuka bado mswada haujafanyiwa marekebisho kwenye vipengele vingine kama kura ya maoni, etc, ndo kwanza wamerekebisha kipengele cha bunge la katiba, hata rais bado haja-consent!

Narudia tena, usichanganye mambo, rasimu ya katiba haipelekwi kwenye bunge la JMT, itapelekwa kwenye bunge la katiba, so usipotoshe watu kuwa wabunge wenu wa CCM wamepitisha rasimu ya katiba tayari! Ni uongo, na aibu vilevile coz naamini hukujua mtiririko mzima wa katiba mpya unaendaje, unadandia tu, kisa bwana yako Bulembo katajwa humu!

Nafikiri unaemueleza hakuwahi wala hajaelewa the whole process ya Katiba. Yeye anafikiri muswada wa sheria ndiyo rasimu ya Katiba iliyopigiwa kura.

Malicela With due respect hapa tunasomwa na wenzetu katika Jumuiya ya Afrika ya mashariki, na hakuna jambo la fedheha kama itakuwa inajirudia kwamba hata 'Viongozi' wetu hawajui chochote kuhusu mchakato wa Katiba. Unapoingia hapa kwenye majadiliano kama haya ukiwa 'Kiongozi' jaribu kufanya home work na kujiridhisha unachotaka kuchangia kwa jambo kubwa kama hili.

1. Jifunze rasimu ya Katiba nini

2. Muswada wa sheria (uliopitishwa na Bunge unazungumzia zaidi namna Bunge la Katiba litakavyokuwa) na pengine baada ya muda mfupi unaweza kuja tena muswada mwingine wa Sheria ili kushagiisha rasimu ya Katiba itakavyohitimishwa na kuwa Katiba.

Anachozungumzia Warioba ni Rasimu ya Katiba, ambayo bado kabisa haijahitimishwa.
 
Kuchambua maoni ina maana gani? Kwa hiyo kwa mfano maoni ya mwanzo yalivyoonyesha majority wanataka serikali tatu, sasa CCM ndio "imeyachambua" na kugundua kuwa wengi wanataka serikali mbili?...

- Kaiz ya Warioba ilikuwa kukusanya maoni, na kuyakabidhi kwa Taifa sio kutuamulia maoni yawe ya Serikali tatu, maoni yamekusanywa na sasa yatachambuliwa yakiwa kama muswaada.

Le Mutuz
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Una mapungufu makubwa katika uelewa wa mambo ya sheria kijana,

Tumia mda wako kusoma sheria iliyounda tume hiyo na kazi za tume hiyo,

Tume inatakiwa kutoa elimu kwa watanzania wakati wote,
 
Back
Top Bottom