Jaji Sinde Warioba kanishangaza


Tatizo ninaloliona hapa ni hii tabia ya ushabiki. Watu wanaleta ushabiki wa CCM vs UKAWA kwenye kila kitu.

Hawajui kuna watu wanaangalia kanuni za msingi kuliko vyama.

Kwa watu kama hawa, mtu akikaa kwenye kanuni, na kupingana na CCM, basi lazima atakuwa anaenda UKAWA au upinzani.

Akipingana na CCM kwa kanuni kwenye masuala fulani, na kubaki CCM abadili CCM kutoka ndani kwa maoni yake, hawamuelewi.

Si lazima kila mtu akubaliane na mimi, kwa mfano, ili mtu huyo awe logical.

The same applies to Warioba and these UKAWA liutenants.
 

Sawia kabisa Kiranga na nadhani wakati mwingine watu wanahalalisha wenyewe kuitwa wapumvavu na malofa!
 
Mbona suala lipo wazi.Wala haina haja ya kuwa na akili nyingi kulidadavua.Jaji Warioba alisikitishwa na jinsi maoni ya wananchi yalivyosiginwa na CCM.Kitendo cha kuanza tena kuikampenia CCM ni kubariki ule usiginaji na ndo ukigeugeu huo.Mh Salim Ahmed Salim alikuwa katika tume ya Warioba mbona hatumuoni akifanya anayofanya Mh.Warioba sasa?
Vingenevyo watuambie kuwa Warioba ameambiwa kuwa mchakato utaanza upya ndo maana akakubali kumeza matapishi yake.
 

Tatizo unarahisisha sana. Unataka mtu afanye maamuzi ya ku support chama gani kwa issue moja tu. That is being one track minded.

Why do you want Warioba to be one track minded?

Kwani Warioba una orodha ya mambo yoote anayoyaona muhimu kwake, na urari wake woote kuhusu lipi analiona muhimu kuliko lingine, na anavyoona ni vipi UKAWA wataweza kuyatekeleza kwa kulinganisha na CCM?

Ili mtu akubaliane na chama fulani, inambidi akubaliane nacho katika kila kitu?

Is Warioba a one track minded individual kiasi kwamba afanye maamuzi yake yote kwa kuangalia msimamo wa CCM kuhusu katiba? Tena wa leo hii tu?

Una inside information zake zote kuhusu habari zote anazopata kuhusu uongozi wa nchi hii na challenge zake, na uwezo wake yeye wa kuleta mabadiliko ndani ya CCM kiasi cha kumuamulia achague kuunga mkono chama gani?
 

Kama Jaji Warioba ameamua kuweka masilahi ya CCM mbele na kupuuza masilahi ya wanachi baada ya kubezwa,kupigwa na kutukanwa na haohao CCM nitakuwa nimekuelewa.
Kumbuka tupo katika kipindi cha uchaguzi.Siri ya ushindi katika kipindi hiki ni kuzingatia masilahi ya wanachi.Tuone Octoba 25 wananchi watafanya maamuzi gani.
 

Maslai ni kitu gani?
 
Makonda ,big up ulifanya kazi nzuri sana kumtwanga huyu mzee makonde hana msimamo
 
hahahah ukawa tuwaitaje kama ccm ni mapepo,leo mmesahau kuwa lowassa ni fisadi hata ushahidi mliosema mnao leo mmeusahau tena?hahahah polen mapepo makubwa wenzetu

Anao Dr Slaa na ndiyo maana katoka Chadema baada ya kujulikana kwamba tutajua ukweli.
 
Hahahaha Sasa Ulitaka Ahamie Kwenu Ndo Mumwone Sio Msaliti?Poleni Sana Wasaliti Ndo Hao Waliokuja Kwenu Wakina Sumaye,wala Matapishi Wakubwa Nyie...

Sisi hatumuhitaji mtu asiyejielewa.
Ukiona mtu yeyote yuko upinzani ujue huyo anauelewa mara 10 zaidi ya yule aliyoko ccm
 
Watu humu ndan wapumbavu sana kwahyo mlitaka aiponde ccm na kuisifia ukawa na makapi yenu?
Najua angefanya hivyo ndio mngekenua meno yote

Wewe Ndiwe mpumbavu zaidi ambaye pamoja na ccm kuiba kila kitu hata twiga wewe umekaa kimya na unaona sawa kabisa Kinana kamaliza Tembo ndiyo katibu Mkuu hapo kuna nini labda wewe unanufaika
 
Alicho fanya mzee warioba nisahihi kwakuwa hakuna chama cha upinzani ndio maana amepanda ktk jukwa la ccm A kama alivyo sema mzee mwinyi.
Laiti wapinzani wasinge uza vyama vyao kwa maccm B mzee warioba asingeweza kufanya alivyo fanya.

Hayo ni mawazo yako na Mwinyi wako. Hivi adui yako anaweza kukushauri ufanikiwe?
ccm hawawezi kuwa washauri wa Ukawa hata iwaje,.
wajishauri kwanza wao kuwa wapinzani
 
Inataka moyo kumuunga mkono Lowassa. Hebu angalia wanaomuunga mkono .... Mpaka Sumaye!
Msitegemee mtu kama Warioba amuunge mkono Lowassa, sipati picha.

Hatuhitaji kuungwa mkono na akina Chenge maana waiba na wamekili kuwa wameiba na Kikwete anaogopa kuchukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…