Wamesaliti kazi yao iliyo bora,Wamewasaliti wananchi Maskini NA sasa hawazungumzii tena katiba mpya zaidi ya kupambana NA LOWASSA. Magufuli akishinda Urais hawezi kubadilisha msimamo WA bunge maalum LA katiba lililo pitisha katiba pendekezi zaid ya kufanya referendum.WARIOBA NA POLEPOLE wametuacha kwenye mataa sisi wakulima maskini.hawatakua NA jipya kwa wananchi tena zaidi ya sisi kuwaona wasaliti.
Wasalaam
Abel sere from Moshi
Kwa vipi mkuu kwani ndo wanaongoza serikali su unaota mkuuWaliotusaliti ni Ukawa maana hao ndo wamebeba maana nzima ya katiba mpya
Wamesaliti kazi yao iliyo bora,Wamewasaliti wananchi Maskini NA sasa hawazungumzii tena katiba mpya zaidi ya kupambana NA LOWASSA. Magufuli akishinda Urais hawezi kubadilisha msimamo WA bunge maalum LA katiba lililo pitisha katiba pendekezi zaid ya kufanya referendum.WARIOBA NA POLEPOLE wametuacha kwenye mataa sisi wakulima maskini.hawatakua NA jipya kwa wananchi tena zaidi ya sisi kuwaona wasaliti.
Wasalaam
Abel sere from Moshi
CCM ishinde nini mkuu? hivi kama kuona huoni, kusoma hujui BASI HATA KUNUSA HUNUSI?
VIVA UKAWA
Wamesaliti kazi yao iliyo bora,Wamewasaliti wananchi Maskini NA sasa hawazungumzii tena katiba mpya zaidi ya kupambana NA LOWASSA. Magufuli akishinda Urais hawezi kubadilisha msimamo WA bunge maalum LA katiba lililo pitisha katiba pendekezi zaid ya kufanya referendum.WARIOBA NA POLEPOLE wametuacha kwenye mataa sisi wakulima maskini.hawatakua NA jipya kwa wananchi tena zaidi ya sisi kuwaona wasaliti.
Wasalaam
Abel sere from Moshi
Nashindwa kumuelewa jaji warioba kuhusu katiba yy kasimamia wapi maana anaowanadi saiv walimtukana mpaka kumpiga kisa alikua na msimamo juu ya katiba ya wananchi.
Ebu tujadili je nayy kakubali katiba pendekezwa?
Sasa we kwaakili yako ulitegemea angemnadi fisadi?Nashindwa kumuelewa jaji warioba kuhusu katiba yy kasimamia wapi maana anaowanadi saiv walimtukana mpaka kumpiga kisa alikua na msimamo juu ya katiba ya wananchi.
Ebu tujadili je nayy kakubali katiba pendekezwa?
Sasa we kwaakili yako ulitegemea angemnadi fisadi?
Warioba na team Magufuli wanaamii Kikwete ndo tatizo
sasa ili mradi Kikwete anaondoka wao wanaamini kila kitu kitawezekana...
Tusubiri tuone.....ni vingapi wataweza
je Magufuli atakubali madaraka ya Rais yapunguzwe?