Jaji mstaafu Mark Bomani naye atoa mpya..

Umri nao tatizo huyo (dead speaking age). Poor comments.

Yawezekana tunafanya unfair judgement dhidi ya huyu Mzee; gazeti lililomnukuu na kuripoti habari hii HALIAMINIKI KABISA!
 

tanzania kuna amani? Kama hujui kuwa hakuna amani basi hujui amani nini, watu wanakufa njaa, wajawazito na vichanga wanakufa, wangapi wanapigwa risaasi et majambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…