Jaji Mkuu Misri ataapishwa leo kuwa Rais

Jaji Mkuu Misri ataapishwa leo kuwa Rais

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,468
TBC Radio imetangaza,kiongozi wa jeshi la Misri aliyemuondoa madarakani Hosni Mubarak,leo ametangaza kwamba amemuondoa madarakani Mohamed Morsy.
Jaji Mkuu wa Misri ataapishwa leo kuongoza Serikali ya mpito. Morsy yupo kizuizini.
 
Hili ndo jeshi linalojua majukumu yake... Sio majeshi uchwara ya nchi zingine wako busy kumwaga ubwabwa na mama ntilie na kwenda kusimamia foleni za kugawa mahindi na maharage darfur
 
Hakika kwa sasa Misri ni nchi ambayo kiti cha Urais kitakuwa kichungu kwa yeyote atakaye ajaribu kufanya Ikulu kama sakosi au kuitumia kwa matakwa yake..
 
Rasisi Morsi alidhani sasa ni zamu ya muslim brotherhood kufurahia vikao vya ikulu akasahau kuunda serikali shirikishi itakayojibu mahitaji ya wamisri.
Ngoja sasa akae kizuizini hadi akili itakapomjia ndipo ajue kuwa alichaguliwa na wamisri na sio muslim brotherhood.

Hapo jeshi la misri limeonyesha njia sahihi ya kuinusuru nchi. Ingekuwa nchi nyingine za kimatumbi kama hapa kwetu sasahivi waandamanaji wote walishauwawa na wengine kutenguliwa viuno!
 
Hakika kwa sasa Misri ni nchi ambayo kiti cha Urais kitakuwa kichungu kwa yeyote atakaye ajaribu kufanya Ikulu kama sakosi au kuitumia kwa matakwa yake..

Ndio juzi Obama amewakumbusha marais wajinga wanaodhani wakichaguliwa basi ndio mwisho wanakuwa miungu watu. Kuchaguliwa peke yake haitoshi, ukishachaguliwa unawaongoza wananchi wote na kuwaunganisha au ndio unakuwa rais wa muslim brotherhood? Inauma sana na kuboa sana sana unapomwona rais anaongoza nchi kichamachama.

Tofauti ya Tanzania na Misri iko ndani ya tofauti ya wamisri na watanzania na si vinginevyo. Wamisri wengi wanafahamu kwamba ile nchi ni yao na si ya muslim brotherhood au chama kingine chochote wakati nionavyo mimi wapo watanzania wengi sana wanaodhani Tanzania ni mali ya ccm na hapa ndio chimbuko la matatizo mengi sana tuliyonayo kama nchi.
 
Hii spirit kwa sasa inapatikana misir tu, Tanzania tungekuwa na spirit kama hii tungekuwa mbalisana, tungekua dunia ya kwanza
 
Hii spirit kwa sasa inapatikana misir tu, Tanzania tungekuwa na spirit kama hii tungekuwa mbalisana, tungekua dunia ya kwanza

Ingekua vyema ukatamka Sifongo ile Wayahudi waliompa Yesu maana spirit ukinywa unalewa tu kama unapokunywa ze Konya.
 
awa watu wakiandama abak mtu ndani.misri iko africa bahati mbaya awa jamaa wana ujasiri ngoz nyeusi hakuna kitu tunaogopa adi tear gas
 
Hili ndilo jeshi linalofaa kuongoza serikali dharimu za kiafrika
 
Rasisi Morsi alidhani sasa ni zamu ya muslim brotherhood kufurahia vikao vya ikulu akasahau kuunda serikali shirikishi itakayojibu mahitaji ya wamisri.
Ngoja sasa akae kizuizini hadi akili itakapomjia ndipo ajue kuwa alichaguliwa na wamisri na sio muslim brotherhood.

Hapo jeshi la misri limeonyesha njia sahihi ya kuinusuru nchi. Ingekuwa nchi nyingine za kimatumbi kama hapa kwetu sasahivi waandamanaji wote walishauwawa na wengine kutenguliwa viuno!

Nimetumiwa sms na rafiki yangu asbh ya leo kwamba hali ya taharuki imeikumba Misri nikasema haiwezekani kumbe kweli khaaa!!
Lakini masaa 48 waliyokuwa wamempa yameisha??
 
kwakweli hii habari ilinifurahisha niliposikia asb kwenye taarifa ya habari, yaani unaona jinsi wenzetu wasivyopenda utawala wa kitoto maybe niseme hivyo
 
Mkuu Andrew Nyerere kiongozi wa kijeshi (CDF) enzi za utawala wa Hosni Mubarak alikuwa Field Marshal Hussein Tantawi ambaye alikaimu urais baada ya Hosni Mubarak kuondolewa madarakani.Aliyemuondoa madarakani Mohammed Morsi ni General Abdel Fattah al Sisi huyu aliteuliwa na Morsi mwenyewe kama mkuu wa majeshi (CDF).

TBC Radio imetangaza,kiongozi wa jeshi la Misri aliyemuondoa madarakani Hosni Mubarak,leo ametangaza kwamba amemuondoa madarakani Mohamed Morsy.
Jaji Mkuu wa Misri ataapishwa leo kuongoza Serikali ya mpito. Morsy yupo kizuizini.
 
Last edited by a moderator:
Wale wa kwetu kule mtwara wanafanya nini?

Wanatakiwa waige makamanda wa Misri.
 
da ilitakiwa tumfanyie hivyo hivyo jamaa wa mtandao lkn jeshi letu lipo busy mtwara likiwaadhibu wana gesi badala ya kusi mamia maslai ya taifa.
 
da ilitakiwa tumfanyie hivyo hivyo jamaa wa mtandao lkn jeshi letu lipo busy mtwara likiwaadhibu wana gesi badala ya kusi mamia maslai ya taifa.

mkuu mtaumwa sana jk anasonga mbele na mipango yake ya maendeleo.
 
Hayo ndiyo majeshi,sio haya ya kuja kuwapiga raia huku MTWARA NA KUBAKA WANAWAKE,

WHAT A SHAME...!!
mkuu watu wanavunja amani mnataka wachekewe tu hayo hayawezekani wakuu,mi natamani wakukamate na wewe wakubinye kweli ili uongee vizuri
 
Back
Top Bottom