THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,855
- 15,196
mkuu watu wanavunja amani mnataka wachekewe tu hayo hayawezekani wakuu,mi natamani wakukamate na wewe wakubinye kweli ili uongee vizuri
You Are Dumb As your Name...
Go n Clean your AS**..
mkuu watu wanavunja amani mnataka wachekewe tu hayo hayawezekani wakuu,mi natamani wakukamate na wewe wakubinye kweli ili uongee vizuri
Unafikiri mwaka mmoja aliokaa madarakani ungemtosha kuunda serikali itakayojibu mahitaji ya Wamisri waliokuwa chini ya Udikteta wa Mubaraka kwa zaidi ya miaka ishirini?Rasisi Morsi alidhani sasa ni zamu ya muslim brotherhood kufurahia vikao vya ikulu akasahau kuunda serikali shirikishi itakayojibu mahitaji ya wamisri.
Mwenzio kamaanisha "mzuka " sio ulabu !Ingekua vyema ukatamka Sifongo ile Wayahudi waliompa Yesu maana spirit ukinywa unalewa tu kama unapokunywa ze Konya.
Unafikiri mwaka mmoja aliokaa madarakani ungemtosha kuunda serikali itakayojibu mahitaji ya Wamisri waliokuwa chini ya Udikteta wa Mubaraka kwa zaidi ya miaka ishirini?
...ni lazima kuna sababu nyingine ambayo wananchi wa Misri (waandamaji) hawaambiwi! ni propaganda ya hali ya juu iliyotumika kuwafanya wananchi waandamane na jeshi kuingilia kati.
TBC Radio imetangaza,kiongozi wa jeshi la Misri aliyemuondoa madarakani Hosni Mubarak,leo ametangaza kwamba amemuondoa madarakani Mohamed Morsy.
Jaji Mkuu wa Misri ataapishwa leo kuongoza Serikali ya mpito. Morsy yupo kizuizini.
Unafikiri mwaka mmoja aliokaa madarakani ungemtosha kuunda serikali itakayojibu mahitaji ya Wamisri waliokuwa chini ya Udikteta wa Mubaraka kwa zaidi ya miaka ishirini?
...ni lazima kuna sababu nyingine ambayo wananchi wa Misri (waandamaji) hawaambiwi! ni propaganda ya hali ya juu iliyotumika kuwafanya wananchi waandamane na jeshi kuingilia kati.
Asante kwa kunifahamisha. Hilo ndilo jambo lilokuwa linanitatiza. Kwa sababu kiongozi anaweza tu kuwa dikteta kama Mkuu wa Jeshi amechaguliwa na yeye;Mkuu wa Polisi amechaguliwa na yeye,na Mkuu wa Usalama amechaguliwa na yeye.Mkuu Andrew Nyerere kiongozi wa kijeshi (CDF) enzi za utawala wa Hosni Mubarak alikuwa Field Marshal Hussein Tantawi ambaye alikaimu urais baada ya Hosni Mubarak kuondolewa madarakani.Aliyemuondoa madarakani Mohammed Morsi ni General Abdel Fattah al Sisi huyu aliteuliwa na Morsi mwenyewe kama mkuu wa majeshi (CDF).
Unafikiri mwaka mmoja aliokaa madarakani ungemtosha kuunda serikali itakayojibu mahitaji ya Wamisri waliokuwa chini ya Udikteta wa Mubaraka kwa zaidi ya miaka ishirini?
...ni lazima kuna sababu nyingine ambayo wananchi wa Misri (waandamaji) hawaambiwi! ni propaganda ya hali ya juu iliyotumika kuwafanya wananchi waandamane na jeshi kuingilia kati.
Zamani tulikuwa tunasema uzayuni,
Huwezi kuibomoa Syria halafu ukaruhusu Misri ikajijenga( Brotherhood),mazayuni wanaona zaidi ya sisi tuonavyo. Mazayuni siku zote yako mbele ya wakati. Wenye akili na wafikiri zaidi. Kama shemeji wa Uk yupo hapa Bongo, shemeji na pori wako hapa Bongo na jaluo na mkewe walikuwa hapa,hatujiulizi nini kinafuata?
Brotherhood halikuwa chaguo la mazayuni, lazima wang`oke. Angalieni kinachoendelea Iran kwa makini.
Asante kwa kunifahamisha. Hilo ndilo jambo lilokuwa linanitatiza. Kwa sababu kiongozi anaweza tu kuwa dikteta kama Mkuu wa Jeshi amechaguliwa na yeye;Mkuu wa Polisi amechaguliwa na yeye,na Mkuu wa Usalama amechaguliwa na yeye.
Huyu Morsy alikuwa interviewed na BBC reporter zamani sana. Akaulizwa,is it true,if you Muslim Brotherhood come to power,you will cut off the hands of thieves?
What did he answer. Morsy was speaking in fluent english. Akasema,kukata wezi mikono,hiyo itategemea hali halisi. If there is no favourable political opinion for it,we will not do it. Yaani,he will try his best to cut off people's hands. Lakini if the public does not want it,he will not do it.
For me this was very surprising. I asked myself,''Huyu mtu anaishi dunia gani?''[Anawezaje kuzungumza maneno kama haya,siyo fasheni duniani kuzungumza ukatili kama huu]
Sababu kubwa ni hii tu kama nilivyoeleza hapo juu,fear ya nchi kutawaliwa na Muslim Brotherhood...ata kesho uitishwe uchaguzi wale jamaa watashinda,hofu na woga ndio maana viongozi wao wakuu wamewekwa kizuizini,lakini ata achaguliwe nani ile nchi haiwezikubadilika kwa mwaka mmoja...MORSI alichaguliwa kwa kula nyingi sana akawapiga chini pro-western wote.Waitishe uchaguzi huru ata kesho brotherhood watashinda,lakini kushinda kwa brotherhood hakutapokelewa na west pamoja na nchi za kiarabu hasa G.C.C