umeongea vizuri mkuu lakini tatizo hapa sio ccm bali ni Watanzania (yaani sisi). Hivi fikiria kidogo: Ukija kupanda ndege alafu ukapata ushuhuda wa wazi kuwa rubani hana uwezo wa kutosha unafanyaje? ...au chukulia unaenda kituo cha basi alafu unaona dereva amelewa chakali si unachagua gari nyingine na hata kama umeshalipa si angalau unaonyesha ujasiri wa kudai kurudishiwa nauli yako!?Nimeona alikuwa darasa moja na PM Mizengo Kayanza Pinda. Hivi PM wetu ana umri gani? We can start from there kufanya estimation ya umri HALISI wa CJ Omari Chande.
Haya mambo ya kugushi UMRI na ELIMU imeyalea CCM na inaonekana haijali kabisa unless someone has steped on their toes ndiyo utasikia sio RAIA (Ulimwengu, Bashe case). ame-forge Umri (Masauni, Nape case).
Mimi najua Omary Chande na Mdogo wake Othman Chande (boss wa TISS) wanasoma sana JF. Kwanini basi Chande asijitokeze hadharani hata kama sio JF aka clear the air kuhusu UMRI wake halisi? Hang on a little bit, nimesahau kwamba hii ni Tanzania chini ya CCM, ni Upepo tu utapita! You can forge everything with impunity.
Hebu angalia nchi za wenzetu makini, kama the MOST POWERFUL MAN ON EARTH, Barak Obama President of the USA alituhumiwa na mwananchi wa kawaida tu kwamba sio RAIA wa Marekani, lakini IKULU ya Marekani ikachukua liberty ya ku prove kwamba ni raia kwa kuonesha LIVE kwenye TV vyeti vya kuzaliwa vya Obama vinavyoonesha alizaliwa USA na ni Raia halali wa Marekani. Iweje Omary Chande au mahakama yenyewe ishindwe kufanya hivyo?!
Kama Chande ataendelea kuzika kichwa chake mchangani (style ya mbuni) ili hali kiwiliwili chake chote kikiwa nje, basi sisi wananchi tutaamini kwamba kweli amegushi UMRI wa kuzalia kwa KUOGOPA kustaafu mapema na hii itakuwa kashifa nyingine kwa mhimili huu wa kutoa HAKI.
iyo ishu mbona wakina Lisu walishaiendea chimbo kitambo sana kabla hata hajawalipua wengine bungeni lakini wakaamua kuipotezea .......inasemekana umri huo ni mdogo ukilinganisha na umri wa mdogo wakeKuna kila dalili za ukweli kuhusu hili.
Kuna jamaa wa TISS kanitonya hiyo issue ipo na Usalama wa taifa walikuwa wanatafuta namna ya kuificha sana tangu Lissu alipoanza kufumua uozo wa baadhi ya majaji.
kuna jitu linaleta ubishi wa kijinga eti halinatabia ya kudandia uzi wa watu na uzi huu siyo wake..kama hunapoint za kumtetea huyo mme wako baki msomaji maana unaandika maelezo mengi halafu ni kinyesi kitupu na jina lako kinyesi kitupu..
suala siyo majina, mbona hata mtoa mada kasema mwaka aliomaliza? Yeye yawezekana alitafuta data za umri aloingia nao chuoni maana ndo kiini cha mada yake. Anahitaji umri halisi wa cj.
analifafahamu swala hili na data zote anazo yeye na wenzie waliibuka nao kipindi cha uteuzi wake lakini ikapotezewa kiainatundu lissu upo?
Alikuwa Tambaza High ,mwaka mmoja mbele yangu. Tulikuwa tunakaa wote Tambaza Hostel,na katika zile cubicle za watu wawili,mimi nilikuwa nakaa na huyu Jaji,hajadanganya umri,amedanganya jina. But he is a good mankwa maoni ya wengi. Yeye ni Mohamed Chande.
Kama mtu anadiriki kudanganya wazi kuwa habari za darasa zima Kitivo cha Sheria mwaka 1974 hazipatikani wakati zinapatikana mpaka online, utamwamini huko anakodai kuwa jaji mkuu kadanganya umri?
Kama anadai kuwa habari za darasa zima Kitivo cha Sheria mwaka 1974 hazipatikani, hizi habari kuwa J. Msofe, Jaji Masati, jaji B. Luanda, R. Sheikh, na V.K. Lyimu walisoma darasa moja na jaji mkuu amezipata wapi?
Hata kama amezipata kwenye source nyingine sidhani kama J. Msofe, Jaji Masati, jaji B. Luanda na V.K. Lyimu wamesoma darasa moja na jaji mkuu.
Tatizo la wabongo mkiambiwa kitu mnaitikia ndiyo tuu. Ham-reason kabisa.
Alikuwa Tambaza High ,mwaka mmoja mbele yangu. Tulikuwa tunakaa wote Tambaza Hostel,na katika zile cubicle za watu wawili,mimi nilikuwa nakaa na huyu Jaji,hajadanganya umri,amedanganya jina. But he is a good mankwa maoni ya wengi. Yeye ni Mohamed Chande.
Mtu anakwambia labda iwe alianza darasa la kwanza akiwa na miaka minne as if its the only option iliyopo, wakati enzi za zamani watu walikuwa wanarukishwa madarasa kama mchezo!
Kama unafikia kujisifia(qualify) wewe mwenyewe kuwa ndiyo greater thinker sina sababu ya kubishana na wewe, lakini kumbuka self qualification is no qualification. Ungeacha jamii, kutokana na mchango wako wasema wewe ni nani.Nina wasi wasi kama ww ni gthinker au kama unajua maana ya mitandao ya kijamii otherwise ungeenda kusoma magazeti tu, acha uvivu wa kufikiri, hv mm nikiweka cheti cha kuzaliwa cha jaji mkuu hapa utakataa kwa kuwa mm sie nilieanzisha topic? Think, reason, conclude.
Duh! JF kwa uchimbuzi!!
Suala la mtoto mdogo wa miaka 4 kuanza darasa la kwanza kidogo linawezekana miaka hii,ila kwa miaka ya nyuma hilo jambo lilikuwa gumu kweli kweli.
Hivi,uadilifu wetu kama taifa u wapi?
Kama mtendaji mkuu wa idara ya kutoa haki kisheria anadanganya umri,our destiny is at stake.
Alikuwa Tambaza High ,mwaka mmoja mbele yangu. Tulikuwa tunakaa wote Tambaza Hostel,na katika zile cubicle za watu wawili,mimi nilikuwa nakaa na huyu Jaji,hajadanganya umri,amedanganya jina. But he is a good mankwa maoni ya wengi. Yeye ni Mohamed Chande.
Namba 47 kumbe Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda ni classmate wa Jaji Mkuu, Othman Chande.
Mtu anakwambia labda iwe alianza darasa la kwanza akiwa na miaka minne as if its the only option iliyopo, wakati enzi za zamani watu walikuwa wanarukishwa madarasa kama mchezo!
Namba 47 kumbe Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda ni classmate wa Jaji Mkuu, Othman Chande.