Labda mkuu umesahau! Jaji Manento ni mmoja ya wale waliolipigia sana kelele suala hili na ripoti ya Tume yake haikumung'unya maneno hata kidogo. Alisema wazi kuwa Mwangosi ameuwawa na Polisi!Hawa nao wanatuchanganya tu!! Siku zote hizo alikuwa wapi??japo hata kupaza sauti kuwa mapendekezo ya tume yake juu ya suala hilo hayajatekelezwa, anasubiri hadi muda wake uishe ndio anaibuka!!! Au ni kulinda mafao, hapo ndipo tofauti ya wasomi wetu na wengine hata kenya tu!!
Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo
Mtu wa design hii, inabidi jamii inayomzunguka 'imtie' kamba na kumrush Milembe Hospital, ili madaktari hospitalini hapo waharakishe kumwanzishia dozi ya mental disturbance!Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo
Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo
Akiongea katika viwanja vya Ikulu,Jaji Amiri Manento amekiri jambo gumu ambola Tume ya Haki za binadamu na utawala bora imesimamia kwa nguvu ni sakata la kifo cha Mwangosi.
Na amekiri serikali haijafanyia kazi mapendekezo ya tume hadi leo.
Chanzo: ITV habari
Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo
Una hamu ya kutukanwa et ee!!
...hivi mtatumika hivo mpk lin???
....k**ma we!!
..Mxieuuuuu
Acha matusi mkuu, una tabia za kingese, au kuna watu wanakushughulikia!
huyu ni kibaraka wa ccm.Mchange alisema chedema ndio waliomuua mwangosi!
Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo

Mchange akamatwe na polis!!!!....
Ndio maana unaambiwa kuna watu makatili kabisa ambao hawakustahili hata kuishi lakini kibaya ni kuwa wameshikilia hata nafasi za maamuzi!Mkuu I respect your opinion ila just think angekuwa ni kaka yako au mzazi wako kuacha watoto wadogo na mjane would you still saythat ? au hata kutaka tahadhari zichukuliwe ili isiweze kutokea tena?