Jaji Manento akiri Mwangosi alipigwa risasi na askari

Jaji Manento akiri Mwangosi alipigwa risasi na askari

R.I.P mwangosi,damu yako ni chachu ya mabadiliko kupitia ccm au nje ya ccm
 
Kuna nyakati Hua natamani kutukana baadhi ya watu humu ndani kwa sauti. Tena kwa sauti kubwa kabisaaaa. Hatuwezi kuweka utani kwenye maisha ya mtu.
 
Kwa nguvu ya Mungu aliye hai , nakuhakikishia damu ya mwangosi haitapotea hivihivi tu .
 
benzemah,

..fuatilia taarifa ya tume ya Jaji Manento kuhusu kuuwawa kwa mwandishi Daudi Mwangosi.
 
Back
Top Bottom