Hawa nao wanatuchanganya tu!! Siku zote hizo alikuwa wapi??japo hata kupaza sauti kuwa mapendekezo ya tume yake juu ya suala hilo hayajatekelezwa, anasubiri hadi muda wake uishe ndio anaibuka!!! Au ni kulinda mafao, hapo ndipo tofauti ya wasomi wetu na wengine hata kenya tu!!
damu ya mtu haipotei bure na waliyotenda unyama huo wataishi maisha ya shida hadi siku yao ya kufa bloody s..h..yt
Kama damu ya Chacha Wangwe inavyowalilia viongozi wa CHADEMA
Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo
Kwanini yapite wakati mtu kauliwa kwa kupigwa risasi bila hatia?Na aliyemuua anafahamika na yuko uraiani?Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo
Tambua leo kwa mwenzako, kesho inaweza kutokea kwako.
upo dunia gani we jamaa? Unaropoka tuu
Mkuu elewa kuwa kiza hakizidi nuru hata siku moja,kifo cha Mwangosi kiliwaliza watu wengi na pia ujue kama utawala huu umeshindwa kuchukua hatua,Utawala ujao utachukua hatua na kama sio ujao unaofuata!ni nani alijua kuna siku kiongozi mkubwa kama Mahanga anaweza kupigiwa kelele za mwizi mbele ya polisi na akasalimu amri?Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo
Kama damu ya Chacha Wangwe inavyowalilia viongozi wa CHADEMA
Only a mental retarded can speak like that!!!Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo
angelikuwa ameuawa ndugu yako ungeongea hivyi?! tuwe na busara tuache kuingiza siasa kwenye maisha ya watu.Huu ni uhai uliopotea,wote waliohusika kuna siku mkono wa sheria utawafikia. Haijalishi itachukuwa mda mrefu kiasi gani mtapata stahili yenu hapa duniani na mbele ya mungu.Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo
Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo
Kama damu ya Chacha Wangwe inavyowalilia viongozi wa CHADEMA
Hayo ya Mwangosi yameshapita. Tugange yajayo