Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Hahahaaa...
Ritz,umeamka toka mafichoni!
Ritz,umeamka toka mafichoni!
Hatima ya lema imeshajulikana kilichobaki ni modality tu, lema alimdhalilisha sana yule dada wa watu, avuliwe ubunge ili CCM irudishe heshima iliyopotea ARUMERU.
Hatima ya lema imeshajulikana kilichobaki ni modality tu, lema alimdhalilisha sana yule dada wa watu, avuliwe ubunge ili CCM irudishe heshima iliyopotea ARUMERU.
Kama hata ndoa ameshindwa kukidhi vigezo hadi kutwangwa talaka tatu!!!!! unataka kutuambia batilda buriani anaheshima gani kwa jamii, umepaswa kujua kuwa huyu mama ni muhuni, kama vipi nenda zenji kaulize.
Jogi,
Itajulikana kesho Mahakama Kuu chini ya Jaji Gabriel Rwakibarila.
ishara ya lema kushindwa kesi..ni lazima ...,idara ya usalama ifahamishwe ili kuweka ulinzi iwapo waatamtia hatiani wananchi wasije leta fujo....wana Arusha tazameni mazingira ya jiji kuanzia leo kwenda kesho ...mkiona ulinzi ambao sio wa kawaida mtaani basi mjuwe wazi kuwa Kamanda Lema anaenda kupigwa chini.....kama ulinzi ukiwa wa kawaida basi mjuwe haki inaenda kutendeka

Hatima ya lema imeshajulikana kilichobaki ni modality tu, lema alimdhalilisha sana yule dada wa watu, avuliwe ubunge ili CCM irudishe heshima iliyopotea ARUMERU.
Mtabakia kutegemea huruma ya mahakama tu, lakini kwenye sanduku la kura ni kilio tu kwa kwenda mbele. Hata BWM, EL na JK wanalitambua sana hilo.Jogi,
Itajulikana kesho Mahakama Kuu chini ya Jaji Gabriel Rwakibarila.
Jogi,
Itajulikana kesho Mahakama Kuu chini ya Jaji Gabriel Rwakibarila.