Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,461
Wewe ni nani? na unajua sheria inasemaje kuhusu hyo kesi? au unadhan anashauriana na mkewe anakuja kutoa maamuzi? Cha msingi badilisheni sheria hizo ziendane na uzito wenyeweKuna hukumu imetolewa na Jaji mjini Moshi ya faini ya Sh milioni 10 kwa raia wa Vietnam aliyetiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akiwa na meno 60 (tembo 30) na kucha 260 za simba. Adhabu ya faini ya Sh milioni 10 ni ndogo mno. Nini kilichomwongoza kutoa hukumu hii?
Mamlaka za uchunguzi zifanye kazi kubaini kilichomfanya Jaji atoe hukumu nyepesi namna hii. Tukiwachekea watu wa aina hii wanyama watatoweka.
Nawasilisha.
mbona umepanic ghafla.Jaji anaongozwa na Sheria na kama huridhiki Jamhuri inakata rufaa sio kuleta Umbea mitandaoni
Yawezekana kwenye sheria mtu akilipa faini sio lazima iwe na thamani sawa na kosa lake! mbona makosa ya barabarani yana faini ndogo na unakuta mtu aliyegongwa kafa au hata kapoteza kiungo. hata hivyo mie sio mjuzi wa sheria
Nahene MwanamayuKwa barabarani dhamana ya fidia hiko kwenye bima ambazo figure zake ni kubwa mno.
Kwani sheria inasemaje kabla hujamtuhumu Jaji?!Kuna hukumu imetolewa na Jaji mjini Moshi ya faini ya Sh milioni 10 kwa raia wa Vietnam aliyetiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akiwa na meno 60 (tembo 30) na kucha 260 za simba. Adhabu ya faini ya Sh milioni 10 ni ndogo mno.
Nini kilichomwongoza kutoa hukumu hii? Mamlaka za uchunguzi zifanye kazi kubaini kilichomfanya Jaji atoe hukumu nyepesi namna hii. Tukiwachekea watu wa aina hii wanyama watatoweka.
Nawasilisha.
Kuna hukumu imetolewa na Jaji mjini Moshi ya faini ya Sh milioni 10 kwa raia wa Vietnam aliyetiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akiwa na meno 60 (tembo 30) na kucha 260 za simba. Adhabu ya faini ya Sh milioni 10 ni ndogo mno.
Nini kilichomwongoza kutoa hukumu hii? Mamlaka za uchunguzi zifanye kazi kubaini kilichomfanya Jaji atoe hukumu nyepesi namna hii. Tukiwachekea watu wa aina hii wanyama watatoweka.
Nawasilisha.
Labda ametumia sheria za Burundi si unajua tupo EACKuna hukumu imetolewa na Jaji mjini Moshi ya faini ya Sh milioni 10 kwa raia wa Vietnam aliyetiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akiwa na meno 60 (tembo 30) na kucha 260 za simba. Adhabu ya faini ya Sh milioni 10 ni ndogo mno.
Nini kilichomwongoza kutoa hukumu hii? Mamlaka za uchunguzi zifanye kazi kubaini kilichomfanya Jaji atoe hukumu nyepesi namna hii. Tukiwachekea watu wa aina hii wanyama watatoweka.
Nawasilisha.
kawaida yakembona umepanic ghafla.