Jaji Chande aliyekushauri kuzima mtandao wa so called tume yako amekupoteza. UNAFICHA NINI? UNAFICHA UKWELI AU UONGO?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Sasa ndiyo huaminiki kabisa kabisa. Zile tuhuma kuwa huwezi kumchunguza aliyekuteua ndiyo umezidhihirisha!
Kitu gani hutaki watu wakisikie na kukiona? Kwa sababu ipi?
Labda kwa vile hii si TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION unaweze kuiendesha unavyotaka au waliokuteua wanavyotaka!
 
Ana ripoti ya kupika mkononi, anaogopa ushahidi wa kweli ukiendelea kusikika kisha usionekane kwenye ripoti yake, ndio watazidi kupuuzwa.
 
Back
Top Bottom