Jaji atupilia mbali madai ya wadai wa Mkosamali

Hatimaye jaji kamaliza udhia na kutupilia mbali mbali madai ya kutaka kumvua ubunge mkosamali na sasa anaendelea na ubunge wake kama kawaida

ngoja nikale bia,huyu jaji ataenda peponi kwani kupunguza wabunge wa upinzani kwenye hili bunge letu inazidi dhambi ya mauti
 
Felix Nkosamali hoyee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, hatimaye Mbunge huyu wa Muhambwe mkoani Kigoma(Kibondo) ameibuka kidedea kwenye case inayomkabilia ambayo ilifunguliwa na mpinzani wake ndg Jamal.
 
Hongera sana Mhe. Mkosamali, naungana na wanaokutaka uwahi Dodoma katika mkakati wa kuishikisha adabu serikali fisadi
 
nenda ukawahi bungeni, umuunge Sito katika kukosa imani na waziri mkuu
 
Back
Top Bottom