Kwa mnaofuatilia mnakumbuka wale makamishna 4 wa IEBC walivyotoka saa ya mwisho matokeo yakitaka kutangazwa na kusema hawayatambui
Jaji anawauliza mawakili wa Odinga kwa nini muda wote walikuwepo na kuonekana kusoma matokeo kwenye Tv ila baada ya kuona Raila anashindwa wakasema hawayatambui?
Matokeo yalikuwa yanatangazwa kwa siku 6 , zote hizo hawakuona tatizo, baada ya kuona namba za mwisho kuwa Raila kashindwa ndio wakasema eti mchakato mzima ulikuwa wa hovyo, haufai