Kenya 2022 Kwa kawaida ya Raila Odinga,he may double-check kuona kama ameshindwa

Kenya 2022 General Election

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,096
2,698
Tayari Raila Odinga ameanza kuongea kuhusu kwenda Mahakamani.

(In fact, na majaji watakaosikiliza hiyo kesi ,ikihitajika,wametajwa)
Last time Odinga aliposhindwa na Uhuru, alikwenda Uhuru Park, Nairobi,kutangazwa serikali ya wananchi.

Nilikuwa nawasikia Radio One , Daressalaam,jana usiku wanatangaza,"Wananchi wa Kenya wanasubiri kuona jambo gani litatokea sasa baada ya Raila Odinga kupinga matokeo"

Kwa nini wanajeshi Kenya wameizingira nyumba ya Ruto kuilinda lakini hawataki watu waingie ndani kumpongeza?
Naona yupo mpiga kura Naivasha anasema,amempigia kura Raila mara nne,hatampigia kura Raila mara ya tano, hata kama Uchaguzi ukirudiwa kesho.

Anasema kwa nini Raila hataki kuiba kura kama wanavyofanya wenzake?
Kama inavyosemwa katika hali Kama hii,"Tell so-and-so,let so-and-so tell so-and-so remove Ruto from power.
TELL SO-AND-SO,LET SO-AND-SO TELL SO-AND-SO REMOVE RUTO FROM POWER.

Yule Ruto ni hustler ,mcheza kamari. Sasa hivi anacheza pata potea,ndio maoni yangu.
 
Yule mzee asirudie wala asipoteze muda kaubiwa mara 4. Ina maana hajui gane hafai kuwa rais huyo Kenya wataibiwa sana yaani haoni ujanja tu wa wagombe wenzake je ujanja wa wafanyabuashara wakwepa kodi , makampuni fake ya ndani na nje, je wawekezaji fake? Hataona kabisa

"Kama naibiwa si aibe na yeye" by uhuru voice

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kumuacha Wetangula ndio imemcost!! Gap ya kura laki 2 ingepatikana Bungoma pale ila ndio hivo hakujifunza Jinsi kumtosa Musyoka 2007 kulimcost Urais.
But nakuomba 2007 Odinga alishinda, kikichotokea Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi bwana Samwel kivuitu alishinikizwa kumtangaza mshindi tofauti, nayeye kwa kinywa chake huyu Bwana Samwel alikili kuwa alishinikizwa kutangaza mshindi tofautu
 
Alishinda ila Gap ilikua ndogo sana ndio maana wakaiba, waliachana kura kama laki pekee. Ila angekua na Musyoka angebeba zaidi ya 50% ambapo Kibaki asingeweza kuiba.
 
Ndiyo. Alimshinda Kibaki kipindi kile. Mimi nilipenda sana safari hii Raila ashinde lakini kwa masikitiko ameanguka. Na inaonekana ameanguka kihalali. Sidhani kama mahakamani kuna cha maana atapata kwani uchaguzi ulikuwa na uwazi mkubwa. Hata wale makamishna waliojitoa hawawezi kusababisha matokeo kubatilishwa, sana sana watasema kura zijumlishwe tena. Kwa kifupi process nyingi zilikuwa za uwazi na haki ila kwenye kutangaza ndiko sintojua ilipoanza. Raila na Kenyata walijiamini kupita kiasi. Kenyatta alidhani kura za mount Kenya atapewa Raila. Na kweli kama angepewa basi angeshinda kwa mbali. Walikuja kung'amua kuwa Raila ameshindwa wakati imeshakuwa too late na hawakuweza kufanya tena chochote.
 
Shida yule kenyatta ni mlevi mno, hawezi kuoganize mambo...ila akiamua kula vichwa vya watu sasahivi wataogopa mbona....uchaguzi utarudiwa fasta

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo. Alimshinda Kibaki kipindi kile. Mimi nilipenda sana safari hii Raila ashinde lakini kwa masikitiko ameanguka. Na inaonekana ameanguka kihalali. Sidhani kama mahakamani kuna cha maana atapata kwani uchaguzi ulikuwa na uwazi mkubwa. Hata wale makamishna waliojitoa hawawezi kusababisha matokeo kubatilishwa, sana sana watasema kura zijumlishwe tena. Kwa kifupi process nyingi zilikuwa za uwazi na haki ila kwenye kutangaza ndiko sintojua ilipoanza. Raila na Kenyata walijiamini kupita kiasi. Kenyatta alidhani kura za mount Kenya atapewa Raila. Na kweli kama angepewa basi angeshinda kwa mbali. Walikuja kung'amua kuwa Raila ameshindwa wakati imeshakuwa too late na hawakuweza kufanya tena chochote.
Nadhani haya ni mawazo yako binafsi,wacha tuiachie Mahakama tuone itaamua vipi.Hapa issue ni haki itendeke tu,swala la uchaguzi hata ukirudiwa atashindwa hilo ni swala jingine.Kila siku hapa tunahubiri kupata haki,mwacheni Raila akaitafute haki yake pia.
 
Tatizo la sisi watanzania ni kuegemea upande fulani bila kujali hali halisi. Na mtu akisha-side na upande fulani, haambiwi, hasikii ila anabisha kila kitu. Nadhani umeelewa vibaya dhumuni la mchango wangu. Sikatazi Raila kwenda kutafuta haki yake ila nimetoa mawazo kulingana na ninavyodhani. Hata mimi ningependa sana atafute haki yake na akishinda uchaguzi urudiwe kwani ni kwangu ni kielelezo cha mageuzi. Ningependa sana apate reward baada ya kupigana kwa muda mrefu.
 
Tayari Raila Odinga ameanza kuongea kuhusu kwenda Mahakamani.

(In fact, na majaji watakaosikiliza hiyo kesi ,ikihitajika,wametajwa)
Last time Odinga aliposhindwa na Uhuru, alikwenda Uhuru Park, Nairobi,kutangazwa serikali ya wananchi.

Nilikuwa nawasikia Radio One , Daressalaam,jana usiku wanatangaza,"Wananchi wa Kenya wanasubiri kuona jambo gani litatokea sasa baada ya Raila Odinga kupinga matokeo"

Kwa nini wanajeshi Kenya wameizingira nyumba ya Ruto kuilinda lakini hawataki watu waingie ndani kumpongeza?
Naona yupo mpiga kura Naivasha anasema,amempigia kura Raila mara nne,hatampigia kura Raila mara ya tano, hata kama Uchaguzi ukirudiwa kesho.

Anasema kwa nini Raila hataki kuiba kura kama wanavyofanya wenzake?
Kama inavyosemwa katika hali Kama hii,"Tell so-and-so,let so-and-so tell so-and-so remove Ruto from power.
TELL SO-AND-SO,LET SO-AND-SO TELL SO-AND-SO REMOVE RUTO FROM POWER.

Yule Ruto ni hustler ,mcheza kamari. Sasa hivi anacheza pata potea,ndio maoni yangu.
MK254 Tony254 someni hapa huenda nyie mkaelewa
 
Kumuacha Wetangula ndio imemcost!! Gap ya kura laki 2 ingepatikana Bungoma pale ila ndio hivo hakujifunza Jinsi kumtosa Musyoka 2007 kulimcost Urais.
Kweli ?..mbona walivyoungana tena mwaka 2012 na mwaka 2017 bado walishindwa tena..?....huenda mbinu zake za kampeni zimefeli au kura zake hazijatosha tu.

Ila mwaka 2007 huenda alishinda sema kilichotokea kipindi hicho.... anyway siasa za Africa ni mchezo mchafu tu.
Lusungo MK254
 
Back
Top Bottom