Wana JF,
Kwa taarifa nilizozipata na kuzithibitisha ni kuwa yule Jaji Gabriel Rwakabarila aliyetoa hukumu ya Lema amepooza miguu.
Kuna chama majungu ni mtaji.Jaji gabriel rwakabarila huyu huyu nliekutana nae jana akiwa kwenye kutekeleza majukumu yake ya kikazi au kuna mwingne?acheni uzushi
Malipo ni hapa hapa duniani.
Mungu amejibu sala/maombi ya wana-Arusha pamoja na mjungo wa mbunge wetu
Lema. Hata JK nchi inamshinda kutokana na manung'uniko na simanzi
iliyopo moyoni mwa wananchi, kwa hiyo nae Mungu anamuadhibu kiaina...
Huyo Jaji naomba pia, mikono na mdomo upooze pia...
Mkuu we wamyooshea Lema kidole kuwa ana dhambi nyingi kwani we huna dhambi ndugu? Mbona unamhukumu kamanda whilst sisi wanadamu si wasafi??Lema ana dhambi nyingi hawezi kuwa ndiyo chanzo cha yaliyomsibu mheshimiwa................a mere coincidence......Mheshimiwa lazima hiyo ya Lema siyo dhuluma ya kwanza ni mwendelezo wa dhuluma nyingi tu na zote kwa pamoja ndizo zinaanza malipizi yake kutoka kwa Muumba................
Jaji gabriel rwakabarila huyu huyu nliekutana nae jana akiwa kwenye kutekeleza majukumu yake ya kikazi au kuna mwingne?acheni uzushi
Lema ana dhambi nyingi hawezi kuwa ndiyo chanzo cha yaliyomsibu mheshimiwa................a mere coincidence......Mheshimiwa lazima hiyo ya Lema siyo dhuluma ya kwanza ni mwendelezo wa dhuluma nyingi tu na zote kwa pamoja ndizo zinaanza malipizi yake kutoka kwa Muumba................
Ni sala za dini ipi zinazomshirikisha Mungu kutenda maovu??????????? kumshirikisha Mungu kumvunja miguu jaji.
Kama Mungu angekuwa anashiriki kwenye sala za kuombea mabaya hapa JF wangebaki watu 3 tu.
Hakuna binadamu asiyetenda dhambi.